Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,591 Reaction score 6,946 Jul 31, 2022 #1 Nimetranslate kama ilivyo, kama itakua wrong mtanisahihisha. Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii, kwa sababu ya uzuri wa sifa zake za kipekee, macho yanayong'aa na nywele zake ndefu nyeupe nyeupe, kana kwamba ni mhusika wa hadithi za Cinderella, Mungu ambariki, Mungu amlinde β€π©πΏ. MaachaAllah kizuri mnoo.
Nimetranslate kama ilivyo, kama itakua wrong mtanisahihisha. Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii, kwa sababu ya uzuri wa sifa zake za kipekee, macho yanayong'aa na nywele zake ndefu nyeupe nyeupe, kana kwamba ni mhusika wa hadithi za Cinderella, Mungu ambariki, Mungu amlinde β€π©πΏ. MaachaAllah kizuri mnoo.
Da Vinci XV JF-Expert Member Joined Dec 7, 2019 Posts 3,862 Reaction score 6,438 Jul 31, 2022 #2 Madogo wazuri wamezaliwa pale Meta mbeya kibao tu π π π π
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,591 Reaction score 6,946 Jul 31, 2022 Thread starter #3 Da Vinci XV said: Madogo wazuri wamezaliwa pale Meta mbeya kibao tu π π π π Click to expand... Hahhaaa
Da Vinci XV said: Madogo wazuri wamezaliwa pale Meta mbeya kibao tu π π π π Click to expand... Hahhaaa
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Jul 31, 2022 #4 Dalmine said: View attachment 2310436 Nimetranslate kama ilivyo, kama itakua wrong mtanisahihisha... Click to expand... Takbiiir
Dalmine said: View attachment 2310436 Nimetranslate kama ilivyo, kama itakua wrong mtanisahihisha... Click to expand... Takbiiir
smarte_r JF-Expert Member Joined Nov 8, 2013 Posts 4,564 Reaction score 12,014 Jul 31, 2022 #5 albino type C.[emoji846]
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Jul 31, 2022 #6 smarte_r said: albino type C.[emoji846] Click to expand... Mkuu hakuna cha type "c" hapo, ni type "a" kabisa huyo.
smarte_r said: albino type C.[emoji846] Click to expand... Mkuu hakuna cha type "c" hapo, ni type "a" kabisa huyo.