Msichana/Mwanamke anaomba maisha yake yawe hivi!

Msichana/Mwanamke anaomba maisha yake yawe hivi!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(1) Apate fedha bila kufanya kazi.
(2) Awe na akili bila kujisomea.
(3) Apendwe bila kutendwa.
(4) Ale chakula bila kunenepa.
 
(1) Apate fedha bila kufanya kazi.
(2) Awe na akili bila kujisomea.
(3) Apendwe bila kutendwa.
(4) Ale chakula bila kunenepa.

Eeti..eee sawa sawa..acha wadanganywe na maisha ya kwnye V!DÊØ...majembe hatuna habari.!
 
Back
Top Bottom