Msichana mwenye bleach kichwani dela kikuku mguu wa kushoto na sendoz ya manyoya

[emoji1787][emoji1787] Niko na huo mpango hizi nywele nyeusi hazinibariki kabisa acha niwwke curl halafu karangi kwa juu
Uweke ile nyeupe...Utapendeza...

Mimi napenda kuona mtu aliyeweka hiyo...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ile nyeupe sijui kwa nini nasita kuweka hivi curl ya rolaz uweke na ile nyeupe hivi inakuwaje
 
Curl na hiyo nyeupe haviendi Auntie....
Hiyo inafaa yenyewe kama yenyewe..
 
JamiiForums1079179555.jpg
 
Back
Top Bottom