cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usirogwe ukamkaribisha kwako. Ukitahamaki haondoki ng'o. Ukitoka kazini utakuta wavaa dera wenzie kibao wamejiachia nyumbani kwa shemu wakeee, huku wakikupiga vizinga vya bia. kwa kifupi hawana tofauti na kupe.