Pacha wa lukelo Sakafu at Work.
Wasanii wetu ndio maisha yao hayo,vipesa kidogo tu ujana hovyo huoo.
Yule Mziwanda kwa Shilole kafuata maisha tu,maana kizee yule mapenzi hakuna pale.
Hahaa demu wa zaman ama kingast wa mziwanda amesema usiku wa jana aliletewa WATU WAKAMPIGA SANA ATOE MIMBA ya mziwanda.
Wamemchukulia simu na begi ameapa atamzalia mtoto na hii mimba ya Mziwanda. Makubwa! Kidume Mziwanda unatisha..
Cc: Shilole
SRC
CLOUDS FM
Mpwa ile project nilifNikiwa hatareeeeeee.sikari guru tupuuuu.....nitafute nikupe mrejesho