Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Hahaa demu wa zaman ama kingast wa mziwanda amesema usiku wa jana aliletewa WATU WAKAMPIGA SANA ATOE MIMBA ya mziwanda.
Wamemchukulia simu na begi ameapa atamzalia mtoto na hii mimba ya Mziwanda. Makubwa! Kidume Mziwanda unatisha..
Cc: Shilole
SRC
CLOUDS FM
Wamemchukulia simu na begi ameapa atamzalia mtoto na hii mimba ya Mziwanda. Makubwa! Kidume Mziwanda unatisha..
Cc: Shilole
SRC
CLOUDS FM