Msichana: Nitamzalia Mziwanda hata wakinipiga

Msichana: Nitamzalia Mziwanda hata wakinipiga

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hahaa demu wa zaman ama kingast wa mziwanda amesema usiku wa jana aliletewa WATU WAKAMPIGA SANA ATOE MIMBA ya mziwanda.

Wamemchukulia simu na begi ameapa atamzalia mtoto na hii mimba ya Mziwanda. Makubwa! Kidume Mziwanda unatisha..

Cc: Shilole

SRC

CLOUDS FM
 
Hafu huyu mtu mzima sana huyu sijui nini kimempata
 
Pacha wa lukelo Sakafu at Work.

Wasanii wetu ndio maisha yao hayo,vipesa kidogo tu ujana hovyo huoo.

Yule Mziwanda kwa Shilole kafuata maisha tu,maana kizee yule mapenzi hakuna pale.
 
Pacha wa lukelo Sakafu at Work.

Wasanii wetu ndio maisha yao hayo,vipesa kidogo tu ujana hovyo huoo.

Yule Mziwanda kwa Shilole kafuata maisha tu,maana kizee yule mapenzi hakuna pale.

Wazee wayajua mapenzi pia mkuu
 
Nimesoma mahala anapinga kusema hamjui eti mbona hakuwai kujitoa na kudai anatoka nae na sasa kaja kudai mimba ni yake as yeye hajui ali.do nae lini... Kwa yeye ni hamjui demu huyo
 
Aligoma amjui.baadae.akakiri.
 
sganaodjopj]p[w20yijwdu9d0-[j2p=2io-k-j28h72h3oj3kpkw9j8whd723hdin2-0dj2dg2hd-2dop]2j\3329=ud9dm2pkmn2[odj9i-dn]pdnodj2d=j2]odm2[dk20d239k3r=32-0rum[wepjnskcnccndnclk;owofwpefowjfpewfmpwmvhwufwfkwnfweonpfwf'knwfnwofnwofpwfwenfewofp[wfn'wfw]fpwfkmvnvkov evnehfofwepfie9022lewmhwemwepweo[el
fmwef[jwefpefmwep Pdidy
 
Last edited by a moderator:
Hahaa demu wa zaman ama kingast wa mziwanda amesema usiku wa jana aliletewa WATU WAKAMPIGA SANA ATOE MIMBA ya mziwanda.

Wamemchukulia simu na begi ameapa atamzalia mtoto na hii mimba ya Mziwanda. Makubwa! Kidume Mziwanda unatisha..

Cc: Shilole

SRC

CLOUDS FM

Mpwa ile project nilifNikiwa hatareeeeeee.sikari guru tupuuuu.....nitafute nikupe mrejesho
 
Back
Top Bottom