Asante! Nshaanza kufundushwanjoo huku nikufundishe bure kabisa
kibongo bongo hiyo ni indicator ya povertyVbanda vya kubet now
Wanawake co wakuhesabu tena
Ukijulishwa ukijua na mie nijulisheAsante! Nshaanza kufundushwa
the ruins dadeki msismko mwanzo mwisho.. niache kuinjoy eti nijifanye mshamba oteDu walio wengi umewagusa hapa ngoja waje miss chagga Nifah njooni huku munaitwa..
Hahahaha........Mkuu umesahau mandingo*Demu anatakiwa kuwa mshamba kiana......*
_Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?...._
_Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"_
_Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?"......._
_sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki......_
_Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._
_inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa"....._
_Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."_
_Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?".........._
_Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Burnley,demu gani huyo!!!??_
Kwakwel cjaifatilia saivHivi wrong turn haijaendelea?
Hii movie huwa inaelezea nin haswa na kisa cha watu kuteswa ni nin maana nimejaribu kuielewa nashindwaDemu anaangalia SAW wala hashtuki [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Demu vampire diary hata kushtuka hamna huyo Demu au na yy ni vampire*Demu anatakiwa kuwa mshamba kiana......*
_Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?...._
_Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"_
_Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?"......._
_sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki......_
_Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._
_inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa"....._
_Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."_
_Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?".........._
_Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Burnley,demu gani huyo!!!??_
Mi nataka hiyo kubeti kabisa
Nini first eleven ya Burnley ,mademu wengine wanakutajia mpaka first eleven ya mbao fc au majimaji fc.*Demu anatakiwa kuwa mshamba kiana......*
_Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?...._
_Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"_
_Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?"......._
_sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki......_
_Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._
_inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa"....._
_Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."_
_Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?".........._
_Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Burnley,demu gani huyo!!!??_
Ila ukiwa unaangalia hiyo kitu na babe babe uwe unapretend uoga basi!!Am a lady Hakuna series napenda kama vampire diaries na walking dead
yani mpira unaoufahamu ni uleeeee wa mambo yale sasa....Mi ikija kwenye ishu za mpira ata huyo Beckham sijui ata sura yake siifahamu
the ruins dadeki msismko mwanzo mwisho.. niache kuinjoy eti nijifanye mshamba ote