Msichana unatakiwa ku mshamba fulani

Msichana unatakiwa ku mshamba fulani

demu anaijua mpaka Nottingham Forest kama ishawahi kuchukuwa UCL
 
*Demu anatakiwa kuwa mshamba kiana......*

_Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?...._

_Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"_

_Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?"......._

_sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki......_

_Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._

_inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa"....._

_Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."_

_Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?".........._

_Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Burnley,demu gani huyo!!!??_
Hahahaha........Mkuu umesahau mandingo
 
Am a lady Hakuna series napenda kama vampire diaries na walking dead
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
*Demu anatakiwa kuwa mshamba kiana......*

_Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?...._

_Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"_

_Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?"......._

_sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki......_

_Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._

_inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa"....._

_Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."_

_Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?".........._

_Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Burnley,demu gani huyo!!!??_
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Demu vampire diary hata kushtuka hamna huyo Demu au na yy ni vampire
 
*Demu anatakiwa kuwa mshamba kiana......*

_Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?...._

_Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"_

_Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?"......._

_sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki......_

_Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._

_inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa"....._

_Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."_

_Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?".........._

_Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Burnley,demu gani huyo!!!??_
Nini first eleven ya Burnley ,mademu wengine wanakutajia mpaka first eleven ya mbao fc au majimaji fc.
 
Lol! Yanini uwe na bidada mshamba mshamba! Cheza mbali na bidada mshamba mshamba hata mkishuka naye club kuruka debe hajui hata pa kuanzia. Mkiongea hili na lile anatumbua mimacho tu! HAPANA BANAA!

the ruins dadeki msismko mwanzo mwisho.. niache kuinjoy eti nijifanye mshamba ote
 
Back
Top Bottom