Msichana wa Jf, ananimaliza ila ipo siku nitamwambia tu

Msichana wa Jf, ananimaliza ila ipo siku nitamwambia tu

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
693
Habari wanadungu wa jf,

Leo nipo kuwambia ukweli,yani humu ndani kuna Mdada nampenda mpaka basi, pamoja na msimamo wangu wote wangu wakutopenda wanawake nimeshindwa kuvumulia, huyu Dada yupo humu ndani ila siwezi kutaja ID yake ninamfahamu vizuri sana anapoishi huwa namwangaliaga tu na sijawahi kuongea nae hata siku moja, ila ngoja niwatajie sifa zake tu!

1)- Jackpot woman-huyu Dada sio siri anajituma sana katika utafutaji wa pesa,huwa anathubutu kufanya biashara nyingi ili mradi aongeze kipato chake/she is a risk taker.

2)- Miss independent-huyu Dada sio siri anajitegemea mwenyewe kwa kila kitu,huwa hapendi vya kupewa na mtu yoyote coz anajua bure ni gharama!

3)- Dressing code-huyu Dada sio siri huwa ananivutia sana style yake ya mavazi,anajua kuvaa mavazi yanayompendeza na yanayokwenda na wakati.

4)- Photogenic-huyu Dada sio siri huwa ananimaliza sana nikiziona picha zake kwenye. Mitandao ya kijamii kama Instagram na Facebook sio siri anajua pozi za kupiga picha na pia huwa anapendeza sana kwenye picha zake na pamba zake kali.

5)- Figure/shape-Dah!,yani sio siri huyu Dada amajeliwa umbo zuri ambalo linamvuto wa kimahaba,mwanaume yoyote akimuona lazima amtamani.

6)- Cat walk-huyu Dada sio siri huwa napenda sana tembea yake,yani akiwa anatembea huwa napenda kumwangalia tu, kwa mwendo wake wa paka na pozi za kike.

7)- Confidences-sio siri yani huyu Dada kitu kingine kinachonivutia kwake ni kujiamini kwake na huwa Mara nyingi yupo makini sana na mambo yake.

8)- Smile-huyu Dada ni moja kati ya wadada wanajua kutabasamu kweli,maana tabasamu lake huwa linaenda sambamba na macho yake,yani akitabasamu macho yake huwa kama amekula kungu yani huwa mboni ya jicho lake huwa Inangaa na kuvutia sana.

9)-High(IQ)-huyu Dada kitu kingine anauwezo mkubwa wa kuelewa jambo na kutoa ushauri ama kusaidia kutatua matatizo mbalimbali,watu wengi wamekuwa wakisifu uwezo wake.

10)-God fearing and respect-pamoja na uzuri alio nao na mafanikio yake yote,lakini bado anafanya ibada anaamini mafanikio yake yanatokana na kudra za mwenyezi mungu na pia anaeheshimu wote.

Kwa sifa hizi huwa ananivutia sana, najua atapita kusoma hapa japokuwa huwa hapendi sana ku comment, napenda kumwabia ana deserve kuwa na Gentleman na intelligent man kama mimi,kunasiku nimepanga kumwambia live,l akini Leo nimeanza Jf.
 
Ivi ww ni mwanaume au mvulana......mwanaume hawa na mawazo ya kivulana ka umeshindwa sema dogo usiwe domozege
 
Ivi ww ni mwanaume au mvulana......mwanaume hawa na mawazo ya kivulana ka umeshindwa sema dogo usiwe domozege

Mmi ni mwanaume sio Domo zege,nimeanza kumwabia sifa zake hapa jf,ili ajitambue, nikitoka hapa na mwambia live
 
Acha kufuatilia wanawake wa watu utamwagiwa tindikali.
 
Sasa kama huwa hapendi ku-comment humu, hizo sifa za kwenye number 9 zinakuja vipi? Na umejuaje kama yupo humu ndani mpaka Id yake?
 
Hili gazeti kwa nini usimuandikie huyo dada peke yake...
 
Sasa kama huwa hapendi ku-comment humu, hizo sifa za kwenye number 9 zinakuja vipi? Na umejuaje kama yupo humu ndani mpaka Id yake?

Huwa hapendi Ku comment Mara nyingi sio kwamba huwa Acomment kabisa,ID yake naijua kuna mtu wake wa karibu aliwahi kuniambia!..na pia nikaifatilia nikagundua nikweli!
 
Ulijuaje kuwa yupo humu ndani (na id yake) ilhali hujawahi kuongea nae hata siku moja???
 
Ulijuaje kuwa yupo humu ndani (na id yake) ilhali hujawahi kuongea nae hata siku moja???

Nafahamiana na mtu wake wa karibu,aliwahi kuniambia ID yake.nikaifatilia nikathibisha hilo.
 
Huwa hapendi Ku comment Mara nyingi sio kwamba huwa Acomment kabisa,ID yake naijua kuna mtu wake wa karibu aliwahi kuniambia!..na pia nikaifatilia nikagundua nikweli!

'Intelligent Gentleman' who snoops around for intel, huh bruh? Just cojones-up and walk-up to her, man.

Anyway, based on that, + no. 9 and 10, if it's not ED, then i can't picture nobody else. And i'm still keeping my receipt. Good luck Mr. Gentleman.
 
Hizi sijui bange za wapi ku fall in love kabla hata hujamuona huyo MTU!!
 
Back
Top Bottom