Msichana wa kazi afukuzwa kwa kutoa siri za mama mwenye nyumba yake

qeentar

Member
Joined
May 20, 2011
Posts
24
Reaction score
1
msichana anayefanya kazi za ndani jana alifukuzwa na bosi wake baada ya kutoa siri za mke wa mtu,chanzo cha mkasa huo umesababishwa na mama mwenye nyumba ambaye anatabia ya kumdharau dada wa kazi.

baada ya kuona visa haviishi baina yake na mama mwenye nyumba ndipo alipoamua kumwambia baba ya kwamba kila akisafiri mke wake huwa halali ndani na hurudi alfajiri akiwa amelewa, majirani pia wanamjua kwa tabia yake hiyo

mama huyo alipopewa taarifa alikuja juu na kudai kuwa msichana wa kazi hana haki ya kuongea na mume wake,na ndipo yeye na mashoga zake waliapoamua kumsafirisha huyo dada ili arudi kijijini
 
Mme nae ni ***** tu kwanini hakufanya mtego amnase? au ndo amelisha ka siku saba!
 
love is blind,i think mume wake anampenda sana
 
Kutoa Siri za Boss Wake ??, What did she expect Salary Increase....,
Ya Ngoswe.., Mwachie Ngoswe..., Hili liwe funzo dada alipewa kazi ya kufanya kazi za ndani na sio kuwa mpelelezi
 
mibaba mingine hovyo tu usijekuta anavyosafiri anakuwa na vimada wake na akirudi anamuona mkewe kama nyanya mbichi vile,na mkewa ni binadamu jamani na yeye anahitaji sasa huyo msichana alitegemea mama wa watu atumie magunzi au!
 
Ndugu a anaiba machungwa ya ndugu b.
Sasa wewe ndugu c uliyemwona ndugu a akiiba machungwa ya ndugu b
unaamua kufanya haya yafuatayo..

1-----unaenda kwa ndugu b na kumwambia kuwa machungwa yako yameibiwa na ndugu a,
japo ni kweli aliyeiba ni ndugu a lakin kwa vile hajakutuma ukamwambie ndugu b,
basi wewe ndugu c utakuwa unasema uongo, kwa sababu utakuwa unasema jambo,
ambalo haujatumwa wala haujaombwa useme.

2-------haujamwona ndugu a akiiba machungwa ila kwa hisia zako tu(hata kama hisia zako ni ukweli),
unaenda kumwambia ndugu b kuwa mwizi wa machungwa yako ni ndugu a.

Hao wote hapo juu ni waongo, na wamepungukiwa na utu,busara na hekima,
mtu aliye na busara hawezi kusema au kumwambia mwibiwaji taarifa hizo,
bali anapaswa aende kwa mwibaji na kumwambia kuwa vitendo vya wizi anavyofanya,
siyo vizuri. Amshauri mwibaji aende akamwombe msahama anayemwibia ili
aweze kusamehewa kwa vitendo au kitendo cha wizi wake.

Siyo jambo jema sana kuwasemea wenzetu makosa yao, tuwaache wenyewe,
wajisemee, na kama tunapenda kuwasemea basi tuwashauri watupe ruhusa,
ya kuwasemea wao.

Huyo house girl hakupaswa kumwambia mume wa boss wake,
matendo mabaya ya mke mwenye nyumba kwani sicho kilichompeleka,
pale, yeye afanye majukumu yake yalimweka pale tu.na kama alikuwa ana
nia nzuri na mke wa mwenye nyumba basi angejaribu kumwambia,
huyo mama kuwa vitendo anavyonfaya siyo vizuri (kama kweli alikuwa
na nia njema ya kumsaidia huyo boss wake mwanamke)

uongo umemponza ,kazi kakosa, na hata kama alitegemea,
kuongezewa mshahara kwa kusema huo uongo basi hata huo mshahara,
pia amekosa. Ya wanandoa waachiwe wenyewe yamalize, labda kama,
watakuomba uwape ushauri katika matatizo yao ndipo uyachangie,
lakin wasipokuomba usiyaingilie hata siku moja, jifanye, kipofu na kiziwi
katika kila jambo ulionalo katika ndoa yao. Na huenda kila walifanyalo kati yao,
lina chanzo na sababu zake ambazo zinajulikana kwao wanandoa.

Huyo h/g ni mchonganishi hatua ya kumfukuza ni hatua sahihi kabisa.
 
msichana anayefanya kazi za ndani jana alifukuzwa na bosi wake baada ya kutoa siri za mke wa mtu,chanzo cha mkasa huo umesababishwa na mama mwenye nyumba ambaye anatabia ya kumdharau dada wa kazi.

baada ya kuona visa haviishi baina yake na mama mwenye nyumba ndipo alipoamua kumwambia baba ya kwamba kila akisafiri mke wake huwa halali ndani na hurudi alfajiri akiwa amelewa, majirani pia wanamjua kwa tabia yake hiyo

mama huyo alipopewa taarifa alikuja juu na kudai kuwa msichana wa kazi hana haki ya kuongea na mume wake, na ndipo yeye na mashoga zake waliapoamua kumsafirisha huyo dada ili arudi kijijini

Mama mlevi, mashoga walevi.
Then wanagawa ndoa zao kwa walevi wenzao
Mume na BWEG.E PLUS PLUS
 
Ndugu a anaiba machungwa ya ndugu b.
Sasa wewe ndugu c uliyemwona ndugu a akiiba machungwa ya ndugu b
unaamua kufanya haya yafuatayo..

1-----unaenda kwa ndugu b na kumwambia kuwa machungwa yako yameibiwa na ndugu a,
japo ni kweli aliyeiba ni ndugu a lakin kwa vile hajakutuma ukamwambie ndugu b,
basi wewe ndugu c utakuwa unasema uongo, kwa sababu utakuwa unasema jambo,
ambalo haujatumwa wala haujaombwa useme.

2-------haujamwona ndugu a akiiba machungwa ila kwa hisia zako tu(hata kama hisia zako ni ukweli),
unaenda kumwambia ndugu b kuwa mwizi wa machungwa yako ni ndugu a.

Hao wote hapo juu ni waongo, na wamepungukiwa na utu,busara na hekima,
mtu aliye na busara hawezi kusema au kumwambia mwibiwaji taarifa hizo,
bali anapaswa aende kwa mwibaji na kumwambia kuwa vitendo vya wizi anavyofanya,
siyo vizuri. Amshauri mwibaji aende akamwombe msahama anayemwibia ili
aweze kusamehewa kwa vitendo au kitendo cha wizi wake.

Siyo jambo jema sana kuwasemea wenzetu makosa yao, tuwaache wenyewe,
wajisemee, na kama tunapenda kuwasemea basi tuwashauri watupe ruhusa,
ya kuwasemea wao.

Huyo house girl hakupaswa kumwambia mume wa boss wake,
matendo mabaya ya mke mwenye nyumba kwani sicho kilichompeleka,
pale, yeye afanye majukumu yake yalimweka pale tu.na kama alikuwa ana
nia nzuri na mke wa mwenye nyumba basi angejaribu kumwambia,
huyo mama kuwa vitendo anavyonfaya siyo vizuri (kama kweli alikuwa
na nia njema ya kumsaidia huyo boss wake mwanamke)

uongo umemponza ,kazi kakosa, na hata kama alitegemea,
kuongezewa mshahara kwa kusema huo uongo basi hata huo mshahara,
pia amekosa. Ya wanandoa waachiwe wenyewe yamalize, labda kama,
watakuomba uwape ushauri katika matatizo yao ndipo uyachangie,
lakin wasipokuomba usiyaingilie hata siku moja, jifanye, kipofu na kiziwi
katika kila jambo ulionalo katika ndoa yao. Na huenda kila walifanyalo kati yao,
lina chanzo na sababu zake ambazo zinajulikana kwao wanandoa.

Huyo h/g ni mchonganishi hatua ya kumfukuza ni hatua sahihi kabisa.

so ni vizuri kufuata ya kwako
 
therefore huyu mdada alikosea,i think u are right,afuate ya kwake
 
Back
Top Bottom