qeentar
Member
- May 20, 2011
- 24
- 1
msichana anayefanya kazi za ndani jana alifukuzwa na bosi wake baada ya kutoa siri za mke wa mtu,chanzo cha mkasa huo umesababishwa na mama mwenye nyumba ambaye anatabia ya kumdharau dada wa kazi.
baada ya kuona visa haviishi baina yake na mama mwenye nyumba ndipo alipoamua kumwambia baba ya kwamba kila akisafiri mke wake huwa halali ndani na hurudi alfajiri akiwa amelewa, majirani pia wanamjua kwa tabia yake hiyo
mama huyo alipopewa taarifa alikuja juu na kudai kuwa msichana wa kazi hana haki ya kuongea na mume wake,na ndipo yeye na mashoga zake waliapoamua kumsafirisha huyo dada ili arudi kijijini