Hicho kitu akikuambia utamtumia vocha ya elfu kumi mwisho wa siku anaishia kukutumia tafadhali nipigie sasa sijui bando ulilomtumua alilimalizia wapi mabinti wa kibongo fulu vituko.Msichana wa Tanzania akikwambia
***Baby nikwambie kitu...**[emoji30][emoji30]
My friend zima simu utoe na betri.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
We acha tu umejuaje? [emoji23][emoji23]Umekumbuka mizinga yako...[emoji23][emoji23]
Hongera kwa kufurahi
Nakumbuka enzi zile nakufukuziaWe acha tu umejuaje? [emoji23][emoji23]
Simu inaweza kujiwasha mkuu...ukitoa betri unakuwa safe zaidiMimi kilichonichekesha ni kutoa na betri kabisa, kuzima tu inatosha sasa unatoa na betru ili iweje
Hata mimi hii lekichala imeniacha hoi! Elimu yetu majanga.Lekichala [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Umetisha nduguMsichana wa Tanzania akikwambia
***Baby nikwambie kitu...**[emoji30][emoji30]
My friend zima simu utoe na betri.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....