mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,170
Hicho kitu akikuambia utamtumia vocha ya elfu kumi mwisho wa siku anaishia kukutumia tafadhali nipigie sasa sijui bando ulilomtumua alilimalizia wapi mabinti wa kibongo fulu vituko.Msichana wa Tanzania akikwambia
***Baby nikwambie kitu...**[emoji30][emoji30]
My friend zima simu utoe na betri.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....