Msichana wa Tanzania

Msichana wa Tanzania

Msichana wa Tanzania akikwambia
***Baby nikwambie kitu...**[emoji30][emoji30]
My friend zima simu utoe na betri.......

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Hicho kitu akikuambia utamtumia vocha ya elfu kumi mwisho wa siku anaishia kukutumia tafadhali nipigie sasa sijui bando ulilomtumua alilimalizia wapi mabinti wa kibongo fulu vituko.
 
[emoji36][emoji36][emoji36]
 
Uzime ili iweje!

Mjibu tu...usiniambie sitakuelewa nipo kwenye kelele na mvua inanyesha usitume text zitalowa.
 
Mimi kilichonichekesha ni kutoa na betri kabisa, kuzima tu inatosha sasa unatoa na betru ili iweje
 
Msichana wa Tanzania akikwambia
***Baby nikwambie kitu...**[emoji30][emoji30]
My friend zima simu utoe na betri.......

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Umetisha ndugu
 
Back
Top Bottom