Msichana wa Tanzania

Msichana wa Tanzania

Satuuuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2015
Posts
1,849
Reaction score
1,993
Msichana wa Tanzania akikwambia
***Baby nikwambie kitu...**[emoji30][emoji30]
My friend zima simu utoe na betri.......

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
 
Hahahaahahah nimecheka sana nashukuru coz umenimalizia siku vzr!
 
Utasukia wiki ijayo graduation yangu. Naomba pesa kidogo baby kwajili ya Kusuka, nguo ya graduation, viatu, keki, ukumbi, na mpishi.

Utafikiri anaenda kuolewa na Lekichala wake kumbe chuo ashamaliza siku nyingi. We dada Mungu anakuona, sipendagi ujinga mimi
 
Msichana wa Tanzania akikwambia
***Baby nikwambie kitu...**[emoji30][emoji30]
My friend zima simu utoe na betri.......

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Y???
 
Utasukia wiki ijayo graduation yangu. Naomba pesa kidogo baby kwajili ya Kusuka, nguo ya graduation, viatu, keki, ukumbi, na mpishi.

Utafikiri anaenda kuolewa na Lekichala wake kumbe chuo ashamaliza siku nyingi. We dada Mungu anakuona, sipendagi ujinga mimi
Lekichala [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Wamejipanga asee yaani kila kukicha hawa wajasiria mali wanaakil mnooo na mbinu kem kem hakuna namna utatokwa tu
 
Back
Top Bottom