Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekumbuka mizinga yako...[emoji23][emoji23]Hahahaahahah nimecheka sana nashukuru coz umenimalizia siku vzr!
Y???Msichana wa Tanzania akikwambia
***Baby nikwambie kitu...**[emoji30][emoji30]
My friend zima simu utoe na betri.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
AahhhhaahhhhhHakuna pa kujificha kila kichaka kina wapigaji! Panya road wakikukosa unapigwa na madem!
Lekichala [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Utasukia wiki ijayo graduation yangu. Naomba pesa kidogo baby kwajili ya Kusuka, nguo ya graduation, viatu, keki, ukumbi, na mpishi.
Utafikiri anaenda kuolewa na Lekichala wake kumbe chuo ashamaliza siku nyingi. We dada Mungu anakuona, sipendagi ujinga mimi
Ndivyo tunavyoenda mkulu!Aahhhhaahhhhh