Msichana wangu anasumbuliwa x wake

Msichana wangu anasumbuliwa x wake

Mwenye tatizo hapo ni demu wako i e hana msimamo,hajitambui,hajakomaa na hajielewi.
Nikweli ,mana jana nilijaribu kuongea na x wake uyo kumuelekeza juu ya kile anachokifanya, baadae x wake akampigia demu akimshtumu anataka kutugombanisha, demu ananiwakia mimi kwa nini nimwambia kila kitu jamaa na kumtaja yeye ndie aliyeniambia.
 
Hapo solution ni kuahirisha hyo NDOA kwa muda usio na kikomo. Jipe muda wa kutosha ujiridhishe kwnz juu ya hayo mahusiano Kama bado yapo au la. Vinginevyo, ni Kama unacheza Kamari hapo
Ili pia neno kwa kuwa nampenda binti inabidi kufanya ivyo.
 
Kwa hiyo wanawake wote waliopo huku duniani umeona ugombanie na huyo ex..muoe tuu halafu utatuletea mrejesho.
Unajua ukipenda inakuwa kama upofu demu amejitahidi kuonesha kwa watu kwamba mimi ni mtu wake, ukienda fb cover picture yake niyakwangu, yani apa ninapoishi kila mtu anajua natoka nae, ata mimi nilidhia kiasi cha kumtambulisha she's my wife to be.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wanaume sisi tuna hatar sana.Huyo jamaa inaonekana alinogewa sana na maujuzi ya kitandani ya demu
Hapo inategemea mambo mengi.
1.Inategemea wewe umempenda kiasi gani huyo mwanamke,Kama hujampenda kivile mwachie tu jamaa aendelee naye ili isije kukuletea madhara mbeleni.
2.Kama umempenda kwa dhati huyo mwanamke Basi mwambie huyo demu abadilishe namba na ikiwezekana muhame hata mtaa mnaokaa na mkaishi mbali na hapo ili jamaa akimtafuta mwaka mzima bila mafanikio atamsahau na kuachana naye.
Unajua huyo kijana sio kosa lake bali ni hisia tu zinamfanya amkumbuke demu wake wa zamani.
Swala kabla ya apo aya mapenzi yalishafika mbali, kiasi kwamba kila mtu anajua ninamahusiano nae.
 
Mkuuu inaelekea uliingia kwa gia ya kuoa ndio maana demu akaamua ampige chini huyo jamaa unaedai ni X wake
Apana nilimkuta demu ameshaachana na uyo jamaa, yuko single day pia ningejua wanamahusiano kabla nisingemtokea.
 
Huyo mchumba wako ndio chanzo , inaonekana hana msimamo kabsa, haiwezekani mpenzi wa zamani akusumbue kabisa
 
Swala kabla ya apo aya mapenzi yalishafika mbali, kiasi kwamba kila mtu anajua ninamahusiano nae.
Sasa fanya hivi hapo unapoishi Kama umepanga kodi ikiisha hamia sehemu nyingine mbali na hapo.
Yaani kwa mfano Kama unaishi mbagala unahamia Kama mbezi ya Kimara,au Kama unaishi gongolamboto unahamia Kigamboni na laini ya simu anabadilisha.
Usipofanya hivyo demu wako lazima atachapwa tu halaf mwisho wa siku ukigu dua demu atakuomba msamaha na kusema sio kosa langu baby amenilazimisha tu,Mimi kila nikimfukuza anakuja tu Sasa Mimi nifanyeje.
 
Back
Top Bottom