[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wanaume sisi tuna hatar sana.Huyo jamaa inaonekana alinogewa sana na maujuzi ya kitandani ya demu
Hapo inategemea mambo mengi.
1.Inategemea wewe umempenda kiasi gani huyo mwanamke,Kama hujampenda kivile mwachie tu jamaa aendelee naye ili isije kukuletea madhara mbeleni.
2.Kama umempenda kwa dhati huyo mwanamke Basi mwambie huyo demu abadilishe namba na ikiwezekana muhame hata mtaa mnaokaa na mkaishi mbali na hapo ili jamaa akimtafuta mwaka mzima bila mafanikio atamsahau na kuachana naye.
Unajua huyo kijana sio kosa lake bali ni hisia tu zinamfanya amkumbuke demu wake wa zamani.