Ndara Mbovu
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 155
- 83
- Thread starter
-
- #41
Nikweli ,mana jana nilijaribu kuongea na x wake uyo kumuelekeza juu ya kile anachokifanya, baadae x wake akampigia demu akimshtumu anataka kutugombanisha, demu ananiwakia mimi kwa nini nimwambia kila kitu jamaa na kumtaja yeye ndie aliyeniambia.Mwenye tatizo hapo ni demu wako i e hana msimamo,hajitambui,hajakomaa na hajielewi.
KwakweliMnazungumzia kiumbe kilichoongea na nyoka mtini, hakika kazi yale maagano sio mchezo
Ili pia neno kwa kuwa nampenda binti inabidi kufanya ivyo.Hapo solution ni kuahirisha hyo NDOA kwa muda usio na kikomo. Jipe muda wa kutosha ujiridhishe kwnz juu ya hayo mahusiano Kama bado yapo au la. Vinginevyo, ni Kama unacheza Kamari hapo
Unajua ukipenda inakuwa kama upofu demu amejitahidi kuonesha kwa watu kwamba mimi ni mtu wake, ukienda fb cover picture yake niyakwangu, yani apa ninapoishi kila mtu anajua natoka nae, ata mimi nilidhia kiasi cha kumtambulisha she's my wife to be.Kwa hiyo wanawake wote waliopo huku duniani umeona ugombanie na huyo ex..muoe tuu halafu utatuletea mrejesho.
Inawezakuwa.Ukiona mtu anasumbuliwa na mtu fulani ujue anaesumbuliwa ametaka,
KwakweliSoon jiandae kulea mtoto wa ex wa Demu wako
Ninampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
Swala kabla ya apo aya mapenzi yalishafika mbali, kiasi kwamba kila mtu anajua ninamahusiano nae.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wanaume sisi tuna hatar sana.Huyo jamaa inaonekana alinogewa sana na maujuzi ya kitandani ya demu
Hapo inategemea mambo mengi.
1.Inategemea wewe umempenda kiasi gani huyo mwanamke,Kama hujampenda kivile mwachie tu jamaa aendelee naye ili isije kukuletea madhara mbeleni.
2.Kama umempenda kwa dhati huyo mwanamke Basi mwambie huyo demu abadilishe namba na ikiwezekana muhame hata mtaa mnaokaa na mkaishi mbali na hapo ili jamaa akimtafuta mwaka mzima bila mafanikio atamsahau na kuachana naye.
Unajua huyo kijana sio kosa lake bali ni hisia tu zinamfanya amkumbuke demu wake wa zamani.
Wapo tena wananipenda ata leo wako ladhi niwaoe sema moyo, umedondoka pabaya kwakweli.Wewe binafsi huna X wako???[emoji855][emoji855][emoji855]
Ukimuuliza anasema ananipenda mimi, yule alishaachana nae na hawezi kumrudia ata nikimwacha.
Apana nilimkuta demu ameshaachana na uyo jamaa, yuko single day pia ningejua wanamahusiano kabla nisingemtokea.Mkuuu inaelekea uliingia kwa gia ya kuoa ndio maana demu akaamua ampige chini huyo jamaa unaedai ni X wake
Ok sawaHuyo dada hana msimamo na inaonesha kwako kafata hyo ndoa lakin upendo upo kwa huyo anaekuambia kumhusu so fanya maamuz sahihi kabla haijawa too late
Ok sawaHuyo mchumba wako ndio chanzo , inaonekana hana msimamo kabsa, haiwezekani mpenzi wa zamani akusumbue kabisa
Hakuna mwanamke anaweza sumbuliwa na mwanaume kama yeye hataki.Ukiona mtu anasumbuliwa na mtu fulani ujue anaesumbuliwa ametaka,
Sasa fanya hivi hapo unapoishi Kama umepanga kodi ikiisha hamia sehemu nyingine mbali na hapo.Swala kabla ya apo aya mapenzi yalishafika mbali, kiasi kwamba kila mtu anajua ninamahusiano nae.
Mruhusu warudianeNinampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?