HUNA CHAKO HAPO... pole sana bro!! Ogopa sana demu anaekosa msimamo...Nikweli ,mana jana nilijaribu kuongea na x wake uyo kumuelekeza juu ya kile anachokifanya, baadae x wake akampigia demu akimshtumu anataka kutugombanisha, demu ananiwakia mimi kwa nini nimwambia kila kitu jamaa na kumtaja yeye ndie aliyeniambia.
Wanafiki wengi ndo walivyooo[emoji23][emoji23][emoji23]Unajua ukipenda inakuwa kama upofu demu amejitahidi kuonesha kwa watu kwamba mimi ni mtu wake, ukienda fb cover picture yake niyakwangu, yani apa ninapoishi kila mtu anajua natoka nae, ata mimi nilidhia kiasi cha kumtambulisha she's my wife to be.
Hahahaha wanawake sio watu kabisa.Kama alikuwa anakunwa vizur mzee baba kaza kiuno na pia kama waliachana kwa amani tu jiandae kisaikolojia alafu wapenz hawachani huwa wanajificha tu wasionekane na usijue na ukimfuatilia utaumia sana.
We piga kimya tu mwanamke asiekuwa na bikra s wako huo ndio ukweli uliopo.
Ndio maana wazee walishasema mwanamke Bora Ni yule uliemkuta na bikra na ndio maana tukapewa siku ya "honeymoon"
Mkuu kunywa maziwa yamoto hapo ntalipa,aisee hii kitu nime proof uwezi amini ni ukweli kabisa.Hahahaha wanawake sio watu kabisa.
Mimi nimecheza nao sana na saikolojia zao.
Yaani huwa Kama watoto hata wawe na umri kiasi gani huwa hawakui kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa wakue waende wapii...!!Mkuu kunywa maziwa yamoto hapo ntalipa,aisee hii kitu nime proof uwezi amini ni ukweli kabisa.
Hahah noma sana, ila almost wanafanana akili zao hata aweje yani psychologicaly ni mule mule tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa wakue waende wapii...!!
Kabisa mkuu, hapo uyo kijana kuna nguvu anaipata na anaitumia kama weakness point kwa huyo dada yani hapo kazi ipo. Apige chiniWanaume hawasumbui Wanawake ambao sio kigeugeu ...
Ukiona anasumbuliwa ujue Hana msimamo huyo mwanamke wako na jamaa anataka ku take advantage yw udhaifu Huo..
Demu ananiambia awezi rudiana na jamaa, nimejaribu kuongea na dada yake ameniambia demu hamind mchizi. Sema jamaa ni playboy na muongeaji sana, kwa kifupi ni mtu wa misifa.Mruhusu warudiane
Uyu demu kwa ninavyomjua uyo jamaa ni boy wake wa pili, na mapenzi yao yalikuwa private ila alipokuja kwangu akayaweka public, aliniambia ananipenda mimi ndio mana kila kitu kiko wazi. Na nilimuuliza isiwe ananitumia mimi kuwaumiza watu.Kabisa mkuu, hapo uyo kijana kuna nguvu anaipata na anaitumia kama weakness point kwa huyo dada yani hapo kazi ipo. Apige chini
Ninampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
Msichana wako ndio atakayelimaliza hilo, asitishe mawasiliano naye mana kuna uhakika mkubwa pengine yeye ndio anamfanya jamaa asichoke kusumbua
Kwa madai yake ananipenda mimi ndio mana hakuna siri,kama utaenda fb cover picture yake ni picha yangu.Mwambie achague mwenyewe..wewe au x, vinginevyo utateseka sana
Tafuta mwingine hawajaisha bestNinampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
Uyu jamaa uwa anajisifu hakuna mwanamke anae mtaka akamkataa just anamwongerea imekuwaje uyu mwanamke aweke kipaumbele mm.Wanaume hawasumbui Wanawake ambao sio kigeugeu ...
Ukiona anasumbuliwa ujue Hana msimamo huyo mwanamke wako na jamaa anataka ku take advantage yw udhaifu Huo..
Ninawatoto 2 mama mbali mbali ila nilitaka nimuoe huyu just awalee watoto wangu kwa kuwa sikuwahi mpenda mwanamke kama nilivyompenda yy.Tafuta mwingine hawajaisha best