rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
HUNA CHAKO HAPO... pole sana bro!! Ogopa sana demu anaekosa msimamo...Nikweli ,mana jana nilijaribu kuongea na x wake uyo kumuelekeza juu ya kile anachokifanya, baadae x wake akampigia demu akimshtumu anataka kutugombanisha, demu ananiwakia mimi kwa nini nimwambia kila kitu jamaa na kumtaja yeye ndie aliyeniambia.