Ndara Mbovu
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 155
- 83
Ninampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri umekwenda shule huuAbadilishe line za simu kabisa ikiwezekana chukua namba zake we mpe namba mpya za kwako uziweke pending kwa muda, kila atakapopiga simu atakuna na wewe....
Kama haitoshi siku muite kupitia msichana wako halafu umuonye onyo kuu ukiwa na watu mbali mbali
Ukiona jamaa anazidi kusumbua jua ameona upenyo wa kupita....mwambie huyo mwanamke nae awe na mcmamo...pia ikiwzkn abadlishe namba....la sivyo X itakuwa YNinampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
mwambie amrudie tu maana kama anasema anasumbuliwa ina maana bado wanatakana.Ninampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
Jamaa ameblokiwa kwenye simu ila sasa jamaa anamtafuta kwa macho, baadae msichana ananiambia kilichotokea.Abadilishe line za simu kabisa ikiwezekana chukua namba zake we mpe namba mpya za kwako uziweke pending kwa muda, kila atakapopiga simu atakuna na wewe....
Kama haitoshi siku muite kupitia msichana wako halafu umuonye onyo kuu ukiwa na watu mbali mbali
Uyu jamaa anamuwinda inamaana msichana akisema atoke inje kosamwambie amrudie tu maana kama anasema anasumbuliwa ina maana bado wanatakana.
Kosa sio la Jamaa...Kosa la Demu wako!! Na ukikaa vibaya utalea mtoto sio wako.. Imeishaaa hiyoo[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Jamaa ameblokiwa kwenye simu ila sasa jamaa anamtafuta kwa macho, baadae msichana ananiambia kilichotokea.
Kwa kifupi bado wanakulana ila usimsanue boyaaKosa sio la Jamaa...Kosa la Demu wako!! Na ukikaa vibaya utalea mtoto sio wako.. Imeishaaa hiyoo[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Huyo dada hana msimamo na inaonesha kwako kafata hyo ndoa lakin upendo upo kwa huyo anaekuambia kumhusu so fanya maamuz sahihi kabla haijawa too lateJamaa ameblokiwa kwenye simu ila sasa jamaa anamtafuta kwa macho, baadae msichana ananiambia kilichotokea.
Asimsanue kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa kifupi bado wanakulana ila usimsanue boyaa
Mkuuu inaelekea uliingia kwa gia ya kuoa ndio maana demu akaamua ampige chini huyo jamaa unaedai ni X wakeNinampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?