Msichana Zeruzeru Aliyeongoza Katika Mtihani Wa Darasa La Nane najua Kujieleza Kweli

Msichana Zeruzeru Aliyeongoza Katika Mtihani Wa Darasa La Nane najua Kujieleza Kweli

23754896_1946221282256259_5870245192030200262_n.jpg
 
Wakenya wazidi kumpongeza Goldalyn Kakuya ambaye aliongoza katika mtihani wa kitaifa la darasa la nane. Goldalyn ambaye ni zeruzeru amepokea sifa nyingi wengi wakiwa wamependeza na kuvutiwa na ujasiri na uhodari wake katika mahojiano ya moja kwa moja katika kituo kimoja cha televisheni. Msichana huyo alionyesha ukakamavu na ustadi katika mazungumzo na alionekana akiwa ametulia na kujibu maswali aliyoulizwa akiwa na tabasamu ambayo imebakia kinywani, mwa wengi. Namtakia kila la heri katika maisha yake ya usoni.
 
Umeukimbi Uzi wako mwenye unakuja kudandia Uzi mwimgine, huu ni ubaguzi kama ulivyo ubaguzi wa kikabila. Sasa na huyu msichamanataka ajulikane kwa ualbino wake badala ya jina lake au utu wake. Sijaona hata mtu mmoja anataja jina lake kwanza kabla ya ugonjwa wake wa ngozi.
 
Makeup ya ngozi yake ni utambulisho wa kipekee ambao naamini hata yeye anajivunia.

Kwa wasiojitambua ndio hujikataa
 
Back
Top Bottom