Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Wabongo ndo zao izo...zeruzeru ni neno fasaha la kiswahili na albino ni kizungu...sasa ukimuita albino ama zeruzeru wanakuona unanyanyapaa kumbe umetumia lugha fasaha kabisa...eti wanataka uite mlemavu wa ngozi...Ni kweli ila huyo mtoto hajali kabisa au hajui jana ktk mahijiano na BBC idhaa ya kiswahili alijiita hivyo.
Ni kama ukisema KIPOFU wanakuona mnyanyapaa eti useme mlemavu wa macho!
Inakera