Its all in the context, kwa wafrika ni wepesi kuona hivi ni vitu vya kawaida, lakini hii imekuwa vita kubwa sana in developed world, reffering someone according to colour of their skin when you're addressing them directly ni kama tusi. You can refer them as third party e.g. polisi au mahakama wakikuuliza describe the person you saw, then you can say I saw a black man or a white man. Lakini ukiongea na mtu direct hauwezi kutumia maumbile yao kama jina au kielelezo. Moja ya nguzo za Tanzania ni usimbaguwe mtu kwa rangi ya ngozi yake, jinsia, dini au kabila lake.