Msichana Zeruzeru Aliyeongoza Katika Mtihani Wa Darasa La Nane najua Kujieleza Kweli

Kama utambulisho wa rangi ya ngozi ungekuwa sio tatizo basi watu wenye ngozi nyeusi wasingejisikiwa vibaya wanapotambukiwa kama N**ger. Au hata wachina wangefurahi watu wakiwaonyesha ishara ya maumbile ya macho yao. We need to be judged by our character not by the colour of our skin.
Whitemen has killing characteristics, that mean you suggest we call them murderer? Dracula? Or?!
 
Albino wa Tanzania hawezi kuongoza darasani kwasababu anaishi kwa mashaka anawindwa kama kware
 
Whitemen has killing characteristics, that mean you suggest we call them murderer? Dracula? Or?!
What you said is irrelevant to what I said, but on the other hand anyone is capable of murder not only white men.
 
Likewise any name bare someones identity.
 
But you can't judge anyone's character just by knowing their name. But if you call someone Zeru-zeru your demonizing a person by disability of their skin. Image a disable man is been asked to move off the road, someone shouts "Wewe kilema, sogea pembeni" how will that go down?
 
But you can't judge anyone's character just by knowing their name. But if you call someone Zeru-zeru your demonizing a person by their skin disability. Image a disable man in road is been asked to move off the road, some shout out loud "Wewe kilema, sogea pembeni" how will that go down?
Even "albino" signify skin sensitivity.
Wanaitwa waafrika kwa kuwa wanakaa afrika, weusi huitwa kwa rangi ya ngozi yao! Hakuna kosa.
 
Its all in the context, kwa wafrika ni wepesi kuona hivi ni vitu vya kawaida, lakini hii imekuwa vita kubwa sana in developed world, reffering someone according to colour of their skin when you're addressing them directly ni kama tusi. You can refer them as third party e.g. polisi au mahakama wakikuuliza describe the person you saw, then you can say I saw a black man or a white man. Lakini ukiongea na mtu direct hauwezi kutumia maumbile yao kama jina au kielelezo. Moja ya nguzo za Tanzania ni usimbaguwe mtu kwa rangi ya ngozi yake, jinsia, dini au kabila lake.
 
Inakuwa kosa gani mtu akikuita jina la sifa yako?

Fikiri nje ya propaganda.

Nini kiliharibika pale mwanasoka mweusi alipoidaka ndizi aliyorushiwa na mshabiki wa soka, akaila na kumrudishia kwa kumrushia maganda shabiki yule?
 
Nimekupa mfano hapo nyuma, mtu mwenye ngozi nyeusi akiitwa N**ger, anajisikiaje? Zeru zeru sio jina ambalo watu wenye ulemavu wa ngozi wamejipachika wemyewe, ni jamii ndio iliwapachika ili kuwatemganisha na watu wenzao weusi. Hautakuja kuona vyombo ya habari vinavyotumia lugha ya kiswahili makini wanatumia neno Zeru zeru maana sio jina fasaha.
 
Ni ujinga wake kujisikia vibaya,

Nikakutokea mfano wa mchezaji mweusi mwenye akili aliyerushiwa ndizi ikimaanisha yeye ni nyani! Alichokifanya ndicho nataka akili yako ijue kuwa reaction isababishwayo na mameno mara zote hum describe muhusika kama ana busara au ni ziro.
 
Nashanga kama haufahamu nchi nyingi dunia Tanzania ikiwemo kumtupia mwenzako ndizi au kitu chochote kwa ishara ya kumtusi ni kosa linaloweza kukufikisha jela? Wachezaji wangi hasa wa bara la Ulaya wanabanwa na sheria nyinyi za kimichezo kitu ambacho kinaweza kuwaharibia kibarua chao. Ndio maana wengine wanatafuta njia zingine za ku react lakini sio kama hawajali, deep down they do (na wao ni binadamu). Kwanza wanatukanwa zaidi ya hiyo ndizi unaoiona. In short sio watu wote wanaoweza wa kumeza machungu kama unavyosema wewe, wengine hawana uwezo wa kuvumilia machungu they end up reacting. People with Albinosim if they had a choice they won't called themselves albino, maana karibu wote wanatoka kwenye familia ya watu wenye ngozi nyeusi they would like to be identify themselves as black Africans.(btw they're white people who are albino too)
 
Kukoment bila marekebisho ya neno zeruzeru ni kudumisha unyanyapaa kwa walemavu wa ngozi!
 
Nashanga kama haufahamu nchi nyingi dunia Tanzania ikiwemo kumtupia mwenzako ndizi au kitu chochote kwa ishara ya kumtusi ni kosa linaloweza kukufikisha jela? Wachezaji wangi hasa wa bara la Ulaya wanabanwa na sheria nyinyi za kimichezo kitu ambacho kinaweza kuwaharibia kibarua chao. Ndio maana wengine wanatafuta njia zingine za ku react lakini sio kama hawajali, deep down they do (na wao ni binadamu). Kwanza wanatukanwa zaidi ya hiyo ndizi unaoiona. In short sio watu wote wanaoweza wa kumeza machungu kama unavyosema wewe, wengine hawana uwezo wa kuvumilia machungu they end up reacting. People with Albinosim if they had a choice they won't called themselves albino, maana karibu wote wanatoka kwenye familia ya watu wenye ngozi nyeusi they would like to be identify themselves as black Africans.(btw they're white people who are albino too)
Your reaction after receiving what you call "provocative" name calling signals it paints you big picture on the wall.
Jina zeruzeru halina tatizo kabisa. Linamaanisha "eupe eupe"
 
jamani acheni kuwaita zeruzeru..hao wanaitwa albinus au kwa kiswahili albino.
ni sawa na kusema wenye ulemavu wa akili waitwe wenye mtindio wa ubongo na sio taahira..
 
Nini tofauti ya Alubino na zeruzeru! (jiepushe na hisia)
 
Your reaction after receiving what you call "provocative" name calling signals it paints you big picture on the wall.
Jina zeruzeru halina tatizo kabisa. Linamaanisha "eupe eupe"
Hilo jina zeruzeru lina tatizo kubwa na ndio maana nikakuambia hauta kuja kuona mwandishi yoyote anayejuwa kiswahili au hata chombo kama mahakama ikilitumia jina hilo. Its not an official name, and it degrading a person with albinism.
 
Back
Top Bottom