Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Iwe Tanzania na Duniani, tumezoea kuona msanii fulani amenunua gari fulani la kifahari.
Magari mengi ya kifahari hayapo practical kwa matumizi ya kila siku.
Sasa hapa ndio daily driver cars zinapoingia, izi za kuendesha kila siku.
Mfano:
Unakuta Diamond Platnumz amenunua Rolls Royce lakini daily yake ni Prado.
Kuna kipindi Masanja alikua na X6, kuna siku tulienda kumfanyia diagnosis alisema daily yake ni Harrier.
Daily driver cars nyingi ni reliable, easy na cheap ku-maintain, haileti attention, rafiki kwenye mafuta, nk.
Ndio maana ata nje celebrities wanajua kuna magari ya kuendea kwenye occasions na kuendea supermarket.
Ukishajua ilo, itakusaidia. Haina haja ya kununua daily driver kama Juma Jux yeye ana madude tu ya Ulaya.
Au kuna dogo ana range ina number WANAMAN jamani mliomuuzia kueni na huruma.