RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Aaah wapi. Gari ya kawaida ya kila siku.Kwa kipindi kile Masanja ilikua showoff ndio maana alilpa na jina. Nadhani na Mond kipindi iko alikua nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah wapi. Gari ya kawaida ya kila siku.Kwa kipindi kile Masanja ilikua showoff ndio maana alilpa na jina. Nadhani na Mond kipindi iko alikua nayo.
mkuu kwa hii kazi yangu ya kuosha maiti za mabedui waarabu nitamiliki kweli hizo mandinga au nikaze msuli kupata pesa za uzeeni inatosha? 😄Huu ni umaskini tu.
Hahahaa. Ni kweli lakini kuna sehemu unatakiwa kuendana na mazingira.Tafuta hela. Kuna watu daily drive whatever it is ni roller, hio x6 ndio kabisa gari ya kila saa maana sio siku tena.
Vitu kama Ferarri au Lambo au Bugatti ndio huwa za siku maalum. Ukiwa na hela kila gari ni reliable coz unanunua brand new. Watu wanahangaika na magari mazee ndio maana kelele za unreliability haziishi.
Ukishakuwa na Roller au Ferarri huwezi kwenda sokoni. Kuna watu wa kazi hio. Come on MadIla lazima uwe na gari la kuendesha siku unaenda sokoni, au sehemu isiohitaji Rolls Royce.
Katufumbua macho
Mkuu vidole havilingani. Huoni maskini tunavyojipa moyo. Eti hata hawa matajiri huwa wana vi IST vya kupigia misele kama sisi. Kalaghabaho.mkuu kwa hii kazi yangu ya kuosha maiti za mabedui waarabu nitamiliki kweli hizo mandinga au nikaze msuli kupata pesa za uzeeni inatosha? 😄
2015 gari ya 2008 ina miaka 7. By that time F15 ishatoka. Ile ilikuwa chuma chakavu sema wabongo wengi washamba. By the way X6 ni X5 E70 yenye chogo.Unajua tunaongelea 2015 ile, Masanja aendeshe daily X6 kwa hela zipi. Ilikua inataa zote unazozijua kasoro ya mafuta.
KabisaEwaaaah.
Mara moja moja unawasha RR unaenda kupiga misele.
Sometimes unahitaji kublend na mazingira.
Yaani nimecheka mpaka nimelia maana kila nikikutana na bwana Sugu Yuko na harrier ila gari la mtandaoni nauza mpaka mashamba yangu yote ,umalilaKatufumbua macho
Hahah, nimecheka kifala sana. Unataka kusema ni full of malfunctionsUnajua tunaongelea 2015 ile, Masanja aendeshe daily X6 kwa hela zipi. Ilikua inataa zote unazozijua kasoro ya mafuta.
Bado hawajakutoa huko?🙄Yaani nimecheka mpaka nimelia maana kila nikikutana na bwana Sugu Yuko na harrier ila gari la mtandaoni nauza mpaka mashamba yangu yote ,umalila
Mzee wangu hivyo sio vyuma wala usafiriParking inapendeza inapokuwa na vyuma vya maana Kama hivyo.
Pambana mkuu pambana sana kama umesha hamisha hii concept mpaka kwenye nguo?? Basi kaz bado boss wanguUpo sahihi hata nguo za kushindia ni tofauti na zile za mtoko
USSR
TrulyMzee wangu hivyo sio vyuma wala usafiri
Hizo zinaitwa nipe namba yako nitakutafuta badae.
Ukiona mtandaoni wako na magari ya ulaya. Siku ukisikia wamepata ajali utasikia walikua wanaendesha prado.Yaani nimecheka mpaka nimelia maana kila nikikutana na bwana Sugu Yuko na harrier ila gari la mtandaoni nauza mpaka mashamba yangu yote ,umalila
Hawawezi kunitoa dada ,mjini niliharibu pakubwa mno .Bado hawajakutoa huko?🙄