Msidanganyike na magari yao ya kifahari! Ata Matajiri na Mastar wana “Daily Drivers”!

Msidanganyike na magari yao ya kifahari! Ata Matajiri na Mastar wana “Daily Drivers”!

🤣🤣🤣Sasa mnyakyusa hawezi kubali kuishi umalila aisee
Hiyo sio shida ,maana mshahara ukitoka tu tunakuwa mjini tunaspend ukiisha tunarudi umalila kusubiri tena utoke tuje mjini hivyo ni Kama tutakuwa tunaishi mjini ila uchumi ukija kukaa vizuri namjengea town nakuwa nakuja kila weekend tunafurahia maisha ,hapo je ?
 
huku ubaya maiti za mochwari sio kivile waarabu si unajua kiislam fasta wanazika. wateja wangu wengi ni wageni au itokee circumstances fulanifulani
kuna wateja wa mambo yetu yale waarabu wapuuzi nao
Maji?? Ama mhimbili wanapiga hela sana pale ma ana nyumba 3 na ndinga safi uturi upo na ugai gai kiunoni pesa za kushenyenta embaliming na kuosha bado udalali wa coffins na sanda
 
Kuna watu ni wabishi mzee, wanapenda Europe Car huwatoi sababu ya maintenance Cost.

Kuna jamaa ni Transporter akiingia field kufanya patrol ya roli zake anatumia Vw Amarok, vijana wake wa Road Patrol na mafundi wanatumia Ford Ranger zinaendeshwa na fundi yeyote mwenye leseni na gari zina miaka zaidi ya 6.
 
Dah ivo vyuma aisee, naishiaga kuvitamani tu
 
Wazungu ndio lifestyles yao unakuja ana 1.4L hii ndio yakulia doria zake za kila siku, utamkuta yuko na 4×4 hii ni kwenda huko rombo msimu wa sikuuu, mara anaenda na familia yake camping bagamoyo nakurud j2, j3 aende kazini.

Hapohapo ana 5.0L, hii chuma siku zote imepakiwa ndani na imefunikwa mwanzo mzisho. Akitoka na hii 5L ujue ni weekend mwezi mara moja. Hapo anaenda restaurant na familia jioni jioni wanatudi nyumbani, au siku wana community zao ndio anatoka nayo, zaidi ya hapo hii gari utakuta imefungiwa garage tuu ...
 
Back
Top Bottom