- Thread starter
- #21
Mkuu popote tu ila ninasikitishwa na baadh ya watu ambao hawasemi ukweli na kuwadanganya watu. Wale wanafugaga baharini kuingia Italy wakishafika ndo wanakumbana na ukwe. Unakuta wameshadaganywa sana na waliotangulia huku wakifika wanakutana na mateso makali. Kuna mmoja alinisimuliaga alitoka Italy kafika Denmark rafiki yake tena kijiji kimoja kutoka nijeria akumpokea. Alimuambia akifika Denmark kuna kazi yakuendesha malori dahKwahiyo unawashauri wenzio waende wapi?
Maana Hadi kwenye vyama sasahivi wamekaza tigo😂😂