Mkuu popote tu ila ninasikitishwa na baadh ya watu ambao hawasemi ukweli na kuwadanganya watu. Wale wanafugaga baharini kuingia Italy wakishafika ndo wanakumbana na ukwe. Unakuta wameshadaganywa sana na waliotangulia huku wakifika wanakutana na mateso makali. Kuna mmoja alinisimuliaga alitoka Italy kafika Denmark rafiki yake tena kijiji kimoja kutoka nijeria akumpokea. Alimuambia akifika Denmark kuna kazi yakuendesha malori dahKwahiyo unawashauri wenzio waende wapi?
Maana Hadi kwenye vyama sasahivi wamekaza tigo๐๐
Mtonyo mdogo kwasababu wengi si matajiri ila kama laki mbili au sita za bongo kwa mwezi ukijiwekea mkakati lazima utawatoa. Sasa kama huko nao wanne tano siyo mchezo.trick kama hiyo hadi huko inafanya kazi sema mtonyo wake ni kidogo sana
Vipi huko uswisi mkuu. Pole nimeona leo Asernal mmeangukia pua vibaya sanaHatari
Mkuu ni vizuri mtu aje ajionee. Kuna Dogo flani mwaka jana alikuja kusoma huku. Kaingia kwa mbwembwe nikamtahadharisha asiweke ekspekteshen sana aende tu taratibu l. Nilikutana naye majuzi kati kawa mpolee.Wacha tuje tutajirekebishia huko huko
Mkuu ni vizuri mtu aje ajionee. Kuna Dogo flani mwaka jana alikuja kusoma huku. Kaingia kwa mbwembwe nikamtahadharisha asiweke ekspekteshen sana aende tu taratibu l. Nilikutana naye majuzi kati kawa mpolee.
Wachumi wametabiri hali itaanza kujirudia kawaida kwaanzia mwanzoni 2023. Fikiria walioajiriwa walikuwa wanapokea mishahara kama milion saba hadi 10 za bongo sasa wanaishi kupitia social benefits na government assistance and handouts ndo chanzo che dipreshen suicide na talaka na zimekithiri sasa. Hakuna shida mbaya kwa binadamu kukosa helamfukoni. Hasira sasa zimegamia kwetu wahamiaji
Hiyo nlikutana nayo sana suala la ubaguziWapolishi wanajitumaga kubeba boksi sana halafu mabaguzi kichizi
Unachokisema ni sawa kabisa, sasaivi kumeoza but tuvute subra pengine 2022 kutatuliaVipi huko uswisi mkuu. Pole nimeona leo Asernal mmeangukia pua vibaya sana
Mkuu hapo koge,nje ya Copenhagen kna jamaa wana asili ya lebanon wazazi wao walihamiagaWapolishi wanajitumaga kubeba boksi sana halafu mabaguzi kichizi
Huyo dogo aka chill hapo christiania apoteze mawaz ๐๐Mkuu ni vizuri mtu aje ajionee. Kuna Dogo flani mwaka jana alikuja kusoma huku. Kaingia kwa mbwembwe nikamtahadharisha asiweke ekspekteshen sana aende tu taratibu l. Nilikutana naye majuzi kati kawa mpolee.
Wachumi wametabiri hali itaanza kujirudia kawaida kwaanzia mwanzoni 2023. Fikiria walioajiriwa walikuwa wanapokea mishahara kama milion saba hadi 10 za bongo sasa wanaishi kupitia social benefits na government assistance and handouts ndo chanzo che dipreshen suicide na talaka na zimekithiri sasa. Hakuna shida mbaya kwa binadamu kukosa helamfukoni. Hasira sasa zimegamia kwetu wahamiaji
Siku hizi imekuwa ngmu wameanzisha nao tozo. Mapopo kasi ya kupeleka magari na vipuri west Africa imeungua. Kuna export duty tax wameiweka. Mapopo wanalaani kichizMkuu hapo koge,nje ya Copenhagen kna jamaa wana asili ya lebanon wazazi wao walihamiaga
Huko naona walitusua,huko ndiko wanaweka ma used items wanauzia wafrika
Ova
Ndio kwa huku kuna unafuu angalau lakini wewe mgeni uje huku ndo uanze upya ni ngumu. Watu wana roho mbaya sana kukukaribisha hata uishi nao. Uwongo ni mwingi sana. Usimuamini mtanzania anayeishi ughaibuni kwa kusimulia. Fika huku uone utakavyopigwa chenga. Msaada wako utakuwa kwa wengine tu. UCHOYO NA UWONGO ndo hulka ya wabongo mamtoni. Halafu maisha yetu ya kawaida tu tunaunafuuNi mwendo wa odd tu,,kweli maisha ni magumu lkni Ni bora kukaa nchi yenye unemployment rate ya 5-12% kuliko huku kwetu ni asilimia hata 60%..tena nchi nyingine wanakupa na benefits kbsa kama umekosa kazi๐๐...huku kumezidii
Oman sio wanyanyasaji,uarabuni nako hali si shwari kuna nyomi la watu kutoka nigeria,ghana,cameroon,kenya,uganda,india,bangladesh,pakistan,nepal,phillipines wanaranda mitaani hawana kazi na hata wenye kazi kampuni nyingi zinafeli kulipa mishahara au kucheleweshwa malipo.Lkn tusibishe sa'bu hii corona imeleta balaa kubwa sana,hv kwa nchi km UAE,Qatar na nyingine Uarabuni hali ipoje nako ni tight, maana sasahv naona watu wengi haswa wakenya wana kimbilia kule, kutoa hz nchi za Saudia na Oman...ambao ni wanyanysaji