Msidanganywe eti sasa hivi hali ya maisha ughaibuni ni rahisi

Hivi mkuu kumbe Poland, Ukraine na Estonia ni nchi masikini hapo Ulaya?
 
Ni ukweli bro nimeishi Norway pia Oslo, Bergen na Trondheim. Ila ukiwa mjanja unasave. Mimi hadi mwaka jiana kwaanzia 2013 nilikuwa naishi kwenye shared apartments na wakati mwengine student apartments. Group langu walikuwa mapopo. Sikuwa nabagua kazi. Na nilikuwa nafanya 16 hours pee day. Kuna pia vrestaurant na night club ambavyo vilikuwa karibu na ghetto nilkuwa siachi japo ni masaa mawili black jobu.

Fikiria ningepanga nyumba yangu mwenyewe ningelipa kama kama milion moja laki mbili lakini kwenye hii shared apartments nilikuwa nalipa laki nne sasa wew fikiria nilikuwa na save laki nane kwenye kodi. Ulaya pia ni ujanja tu ubahili na kubana matumizi. Nimesavu sana
 
Hivi mkuu kumbe Poland, Ukraine na Estonia ni nchi masikini hapo Ulaya?
Siyo kivile ila raia wao wengi usafiri sana kwenda kubeba boksi kwengine. Poles and other eastern European countries wanaweledi sana wakuchuma mboga, kabeji, berries na apole. Licha ya hizo kazi ni wadokozi sana.
 
Hakuna maisha huko bro. I have been through it all, trust me. You are always at the bottom of the social economic ladder. Year after year with zero social economical mobility, unless you're in a lasting relationship with a local mzungu. You can't even make it to to the point of being credit worthy to be eligible for a car mortgage or apartment/house mortgage from banks or lending institutions.
 
Siku hizi imekuwa ngmu wameanzisha nao tozo. Mapopo kasi ya kupeleka magari na vipuri west Africa imeungua. Kuna export duty tax wameiweka. Mapopo wanalaani kichiz
Kila kitu kinakuwa kigumu...
Kuna wakati tulikuwa tunakusanya
Sana compressor za mafriji,naskia
Sahv walizuia kuzitoa mambo ya mazingira
Kama kutoa idadi ndogo

Ova
 
Hakuna maisha huko bro. I have been through it all, trust me. You are always at the bottom, of the social economic ladder, year after year, zero social economical mobility unless you're in a lasting relationship with a local mzungu.
Ulikuwa unai mji gani Norway?
 
Kama huja ujuzi na mipango nje kunaweza kuwa kugumu kuliko kwenu. Umenikumbusha rafiki yangu aliyetaka kukimbia Dar kwenda Nairobi asijue ni jehanam. Kwa vile naijua miji yote miwili, nilimsaidia kwa kumpa ukweli kuhusu Kenya ambayo watanzania wengi hudhani ina maisha mazuri kuliko Tanzania wakati mambo ni kinyume. Angalia utitiri wa wakenya nchini. Ni sawa na watu wanaokimbilia Afrika Kusini. Kimsingi, Ulaya kuna maisha hasa kama unaamua kufanya kila kazi huku ukiwekeza kwenye masomo. Vinginevyo, kuna kero na kiza kweli kweli hasa kwa wale wanaoingia kinyume cha sheria.
 
Ujue Ulaya hata miji ya huko na hali ya hewa ni faraja Sana huwezi kufa njaa tofauti na bongo , mi nimesoma South Korea nilipenda maisha ya kule ingawa sikubahatika kufanya kaz wakati nikiwa huko ila maisha ni mazuri tofauti na bongo.
 
Ukienda huko Norway, Denmark, Sweden, Finland, in due time, and after going through the initial culture shock, you pretty soon start acquiring a cardboard-box type mentality where you start thinking you're living in heaven despite all the racial discrimination you have to deal with on the daily as an African
 
Copenhagen Dn,nazikubaligi sana story zako za experience na exposure za Ulaya..big up sana mimi sina experience ya Ulaya sehemu pekee niliyokaa tena miaka michache sana kimasomo ni USA tena sijamaliza hata hiyo degree huko
 
Kuna video nimeiona jana youtube jiji la philadephia maisha ni magumu hatari serikali haina msaada kimbilio la watu ni kula unga,jiji limejaa mateja kila mahali uchafu ndo usiseme, mpaka nikahisi labda ndo matokeo ya chanjo.."mtakuwa mazombi" in gwajiboy voice...ingia youtube mwenyewe uone. HALI NI MBAYA
 
Kuna hiki a
Unamfaham Hamisa, liliab na siku?
Simjui. Mimi ni old school.Ila Chiku ndiyo Mtanzania nlimkuta ameishi Bergen miaka mingi zaidi. lkn kuna Watanzania wengi niliwakuta Bergen, watu poa sana
 
Simjui. Mimi ni old school. Chiku alikuwa mwenyeji wangu
Okay mkuu nakuamini ulikuwa Bergen kama unamjua Chiku. Nilisikia alimpoteza binti yake. . Chiku dada wakisingida mnyaturu. Huyu Hamisa pisii kichiz mcheshi mchangamfu ni mzenji tulikuwa tunapiga naye kitu cha Arusha. Nilikuwa nabeba boksi Galleria Chinese fishing. Dah Bergen zile nyumba milimani. Utakuwa unamjua tu Hamisa BAK nadani anafaham
 
Simjui Hamisa Mkuu ili namuonaga yule Hamisa Mrembo Mobetto 😜
 
Siyo kivile ila raia wao wengi usafiri sana kwenda kubeba boksi kwengine. Poles and other eastern European countries wanaweledi sana wakuchuma mboga, kabeji, berries na apole. Licha ya hizo kazi ni wadokozi sana.
Hivi mkuu Austria ikoje?Naipenda kinoma!
 
Kila mtu na njia yake wewe siyo mimi wala mimi siyo wewe kila mtu kaandikiwa rizik yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…