una matatizo wew,wanawake aliyekamilika hatafuti wa kumuoa...
Poleni wadogo zangu, ni kweli wanaume wengi hawajazoea dada kueleza hisia zake when it comes to love, lakini niwatie moyo, naomba msikate tamaa endelea kutafuta iko siku mtapata. Niwaombe sana msijirahisi kwa hai vicheche na wekeni msimamo kwamba suala la ngono wasubiri mpaka mfunge ndoa tu, kwa hapo mwenye nia na aliyemaanisha itakuwa rahisi kumjua. Na wakati mwingine mtu anaweza kuja na mawazo ya ngono lakini akikukuta uko serious na mwenye msimamo hatakueleza upumbavu wake wa kutaka ngono hovyo. La msingi zaidi ya yote mtangulizeni Mungu na shirikisheni na wacha Mungu wengine wawaombee.Yaani acha tu,
ni wapenda ngono tu.
Kwa kweli humu hakufai,si kwa kutafutia mwenza kwa kweli.
Inabidi wabadilike kwa kweli maana tunakoelekea doh!
Yaani na wewe ni mwanaume kweli, yaani unamwona mtu siku hiyo na kumrukia mkafanye ngono! Si uendee kwa wauzaji bhanabora huyo alichukua mipira, mm hata hiyo mipira nisingekumbuka!
mh, pole sana AmKATRINA kumbuka kuwa katika msafara wa mamba kenge pia wamo. me nliwahi kupata m1 humu ye cha ajabu alikuwa anataka kumtuma mamake aje kuniona na kuanza process cos ye yupo busy sana na kazi. lol nilistuka sana make hatukuwahi onana ana hata cku moja zaidi ya kuongea via 4n. je ana uhakika gan me ndie chaguo lake bila kuonana ana kwa ana? na anajuaje km ye ndo chaguo langu bila kuonana? mwisho wa siku nilimdiscourage make hakutaka tuonane. . .
Haupo sahihi dada. Kila sehemu wapo watu wa aina tofauti tofauti nachoona ni kwamba umekutana na mtu ambaye hukupenda alichofanya, tabia ya mtu mmoja haitoshi ku-generalize kwa watu wote. Kama ni kweli upo serious na kutafuta mwenza huyo jamaa asikukatishe tamaa ktk safari yako na utegemee utakutana nao wa aina hiyo cha msingi ni wewe mwenyewe kuchagua yupi atakufaa. Nakutakia mafanikio mema kwenye safari yako!!!Yaani acha tu, ni wapenda ngono tu. Kwa kweli humu hakufai,si kwa kutafutia mwenza kwa kweli. Inabidi wabadilike kwa kweli maana tunakoelekea doh!
Poleni wadogo zangu, ni kweli wanaume wengi hawajazoea dada kueleza hisia zake when it comes to love, lakini niwatie moyo, naomba msikate tamaa endelea kutafuta iko siku mtapata. Niwaombe sana msijirahisi kwa hai vicheche na wekeni msimamo kwamba suala la ngono wasubiri mpaka mfunge ndoa tu, kwa hapo mwenye nia na aliyemaanisha itakuwa rahisi kumjua. Na wakati mwingine mtu anaweza kuja na mawazo ya ngono lakini akikukuta uko serious na mwenye msimamo hatakueleza upumbavu wake wa kutaka ngono hovyo. La msingi zaidi ya yote mtangulizeni Mungu na shirikisheni na wacha Mungu wengine wawaombee.
Mimi kwa raha ninayoipata kwa wifi yenu nawaombea na nyie mpata your dream husbands, kila la heri.
pole sana Katrina. kwa hadithi yako kuna mawili kwanza inawezekana wengi wetu uelewa wa hatua za kufuata unapotafuta mwenza via "on-line dating" bado ni mdogo au pili uelewa upo lkn ni hulka tu ya kukosa uvumilivu na kuendekeza matamanio ya miili yetu...
mh, pole sana AmKATRINA kumbuka kuwa katika msafara wa mamba kenge pia wamo. me nliwahi kupata m1 humu ye cha ajabu alikuwa anataka kumtuma mamake aje kuniona na kuanza process cos ye yupo busy sana na kazi. lol nilistuka sana make hatukuwahi onana ana hata cku moja zaidi ya kuongea via 4n. je ana uhakika gan me ndie chaguo lake bila kuonana ana kwa ana? na anajuaje km ye ndo chaguo langu bila kuonana? mwisho wa siku nilimdiscourage make hakutaka tuonane. . .