Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa ingia
kwanza sitafuti
pili kuwadanganya serious seekers sipendelei
bora kuwadanganya waongo wenzio lol
Yaani mimi nilikuweka kwenye kundi la wanaokimbilia kununua condom on the first date! LOL
Mmmh... Jamii forum ni kiboko..! Kuna mambo mengine yanayoendelea humu ukisimuliwa huwezi kuamini hata kidogo...!
Wewe nae
umeshahadithiwa yapi hayo?
be carefull na hao wanaokuhadithia lol
ndo hao hao
Baeleze bajue bana...kwelii kuna maongezi mengine yanahitaji muwe mahali tulivu..lkn lazima iwe guest? tafuta hata hotel yenye hadhi ya nyota 3 - 5 zina utulivu wakutosha...
Hahahaaa... Umesahau wewe ndio wa kwanza kunipa stori nilivyotua tuu humu jamvini!
story zoote nazokupa mie ndo sterling lol
so ukae ukijua mimi ndo mhusika mkuu lol
Kwa stahili hii kazi wanayoHe kwani we hujui?hawa wadogo zako buree
Kichwa cha habari kimejitosheleza.
Si wote mnaodhani mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni Prostitute!!!
Mtu anaku-PM vizuri,mnaongea na baada ya kuridhika na maelezo yake mnapanga siku ya kuonana.
Lakini siku ya kwanza tu kuonana anakwambia Muende Guesti House eti mkaongelee huko,
Nawe kwa kumtega unamwambia twende,
Bila aibu anapitia dukani kununua mpira!!
Shame!!!
Hv huoni aibu??
Ndivyo ulivyoaga kwenu hvo??
Nyambafff!!!
Na mwingine utamsikia "Ooho napenda sana kufanyia mazungumzo Guest kwani ni mahala tulivu na hakuna makelele wala honi za magari"
Khaaa!!!
Jamani ndivyo mlivyolelewa na wazazi wenu hvo???
Jamani, wanaume wachache humu mtawakosesha wenzenu wenye nia ya kweli ya kutafuta wenza wa maisha.
Angalieni sana, si kila mwanamke wa majaribio.
Kama mmezoea wanawake wa majaribio huko mitaani,basi hapa mmechemsha.
Sijalenga watu/mtu yeyote,
anaye/wanao jishuku huenda akawa/wakawa mhusika/wahusika.
Jamani mi Mgeni kwny jukwaa hili sio mbaya mkinijuza Lol...ndoni nn...?Hivyooo eeeehh?? Mmh... Kumbe afadhali siku hizi najitahidi kukaa mbali na wewe kumbe wewe ni balaa.. Af saiv naona umehamia kwa Jestina kumpa hizo stori zako... Lol..