Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

Mmmh... Jamii forum ni kiboko..! Kuna mambo mengine yanayoendelea humu ukisimuliwa huwezi kuamini hata kidogo...!
 
Nashindwa ingia
kwanza sitafuti
pili kuwadanganya serious seekers sipendelei
bora kuwadanganya waongo wenzio lol

Yaani mimi nilikuweka kwenye kundi la wanaokimbilia kununua condom on the first date! LOL
 
Yaani mimi nilikuweka kwenye kundi la wanaokimbilia kununua condom on the first date! LOL

he heee sio wewe tu
naona kuna campaign humu ya kunihusha na kila kinachotokea humu lol

anyway hivi vacation huruhusiwi nunua condoms? lol
 
Mmmh... Jamii forum ni kiboko..! Kuna mambo mengine yanayoendelea humu ukisimuliwa huwezi kuamini hata kidogo...!

Wewe nae
umeshahadithiwa yapi hayo?
be carefull na hao wanaokuhadithia lol
ndo hao hao
 
Mmmh... Jamii forum ni kiboko..! Kuna mambo mengine yanayoendelea humu ukisimuliwa huwezi kuamini hata kidogo...!

....yaani kama mchezo wa kuigiza vile...!!!
 
Baeleze bajue bana...kwelii kuna maongezi mengine yanahitaji muwe mahali tulivu..lkn lazima iwe guest? tafuta hata hotel yenye hadhi ya nyota 3 - 5 zina utulivu wakutosha...

Thubutuuu...!!!
Waliozoea vya kuchinja, vya kunyonga hawawezi.
 
story zoote nazokupa mie ndo sterling lol
so ukae ukijua mimi ndo mhusika mkuu lol

Hivyooo eeeehh?? Mmh... Kumbe afadhali siku hizi najitahidi kukaa mbali na wewe kumbe wewe ni balaa.. Af saiv naona umehamia kwa Jestina kumpa hizo stori zako... Lol..
 
Hapa na wengine ambao tuko serious tushaharibiwa!!
 
Sasa mkuu nakushauri uachane na hao, Ni pm mimi alafu tutafanyia mazungumzo kwangu nina ghetto wala sio guest.
 
Utanunuaje mbuzi kwenye gunia? Kama iko onja kwanza ndo nzuri. Na wewe usimchukulie kila mwanaume anayetaka kukubanjua hayuko serious.
Kichwa cha habari kimejitosheleza.
Si wote mnaodhani mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni Prostitute!!!

Mtu anaku-PM vizuri,mnaongea na baada ya kuridhika na maelezo yake mnapanga siku ya kuonana.
Lakini siku ya kwanza tu kuonana anakwambia Muende Guesti House eti mkaongelee huko,
Nawe kwa kumtega unamwambia twende,
Bila aibu anapitia dukani kununua mpira!!
Shame!!!
Hv huoni aibu??
Ndivyo ulivyoaga kwenu hvo??
Nyambafff!!!

Na mwingine utamsikia "Ooho napenda sana kufanyia mazungumzo Guest kwani ni mahala tulivu na hakuna makelele wala honi za magari"
Khaaa!!!

Jamani ndivyo mlivyolelewa na wazazi wenu hvo???
Jamani, wanaume wachache humu mtawakosesha wenzenu wenye nia ya kweli ya kutafuta wenza wa maisha.

Angalieni sana, si kila mwanamke wa majaribio.
Kama mmezoea wanawake wa majaribio huko mitaani,basi hapa mmechemsha.

Sijalenga watu/mtu yeyote,
anaye/wanao jishuku huenda akawa/wakawa mhusika/wahusika.
 
Tamaa mbaya sana. Ukiona mtu analalamika ujue yamempata ya kumpata. Pole best.
 
Hivyooo eeeehh?? Mmh... Kumbe afadhali siku hizi najitahidi kukaa mbali na wewe kumbe wewe ni balaa.. Af saiv naona umehamia kwa Jestina kumpa hizo stori zako... Lol..
Jamani mi Mgeni kwny jukwaa hili sio mbaya mkinijuza Lol...ndoni nn...?
 
Back
Top Bottom