Msiende kuangalia mpira matokeo tayari, Chelsea kapigwa magili 2! Barcelona kapita

Msiende kuangalia mpira matokeo tayari, Chelsea kapigwa magili 2! Barcelona kapita

Jaman matokeo ninayo Barca kampiga Chelsea magoli mawili na mpira umeisha hivo hivo Barca kapita
 
Barca leo atakufa mapema sana
Blues 2 wakubebwa 1
 
Tunataka wa sasa
Haya machawi siku hizi yametoka wapi? Tayari mtu keshawaka 2 kwa yai!! Messi hana spare kwenye sayari hii!! Hivi ni mjinga gani huwa anaifananisha hii machine na Ronaldo?
 
[emoji24][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Barcelona haijawahi kuruhusu magoli mawili katika mchezo wa mtoano wa Champions League kwa miaka 5 sasa.
:
Chelsea wanahitaji kushinda kwa zaidi ya magoli mawili ili kufuzu.
:
Barcelona 2-0 Chelsea - dakika ya 20:
 
FB_IMG_1521060547861.jpg
 
Back
Top Bottom