britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmetishaMatokeo ni 3-0 Barcelona anapeta kama kawaida naomba turudi hapa baada ya mechi
Vibanda umiza
Tumerudi mkuu hebu agiza Windhoek upoze koo tusherekee ushindi..Matokeo ni 3-0 Barcelona anapeta kama kawaida naomba turudi hapa baada ya mechi
Tumerudi mkuu hebu agiza Windhoek upoze koo tusherekee ushindi..Matokeo ni 3-0 Barcelona anapeta kama kawaida naomba turudi hapa baada ya mechi
Hongera mkuu kwa utabiri muruaMatokeo ni 3-0 Barcelona anapeta kama kawaida naomba turudi hapa baada ya mechi
Tisha sanaMatokeo ni 3-0 Barcelona anapeta kama kawaida naomba turudi hapa baada ya mechi
sasa hizo ulizozitaja hapa nazo NI team za kuifananisha na barca ...au ni vilabu vya pombe !??PSG kapigwa kwao
TOTTENHAM kapigwa kwao
MANCHESTER CITY kapigwa kwao
MANCHESTER UNITED kapigwa kwao
Lolote laweza kutokea pale mjini Barcelona
hahaaaaPale haiwezekani bro maana pale nyasi za uwanjani zitakatwa kimo cha chini Sana alafu na kumwaga maji maji kidogo , pasi inaguswa inateleza ni hatari