Msiende kuangalia mpira matokeo tayari, Chelsea kapigwa magili 2! Barcelona kapita

Hongera zako asee kwa kutupa matokeo kabla ya mechi...

We pia umefuzu kwenda hatua inayofuata kwa hii thread...

Tukutane ijumaa kwenye draw ya robo fainali...
 
PSG kapigwa kwao
TOTTENHAM kapigwa kwao
MANCHESTER CITY kapigwa kwao
MANCHESTER UNITED kapigwa kwao

Lolote laweza kutokea pale mjini Barcelona
sasa hizo ulizozitaja hapa nazo NI team za kuifananisha na barca ...au ni vilabu vya pombe !??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…