Msifananishe Shambulio la Ole Sendeka na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu

Msifananishe Shambulio la Ole Sendeka na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu

Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.

Shambulio la Lissu lilikuwa spesho kwa ajili ya kuondoa uhai wake na lilikuwa haswaa Linahusu siasa!

Tundu Lissu hakushambuliwa vichakani Wala msituni, alishambuliwa katikati ya jiji ,Tundu lissu alishambuliwa mchana jua Linawaka. Hili la ole sendeka limetokea huko simanjiro aangalie namna anavyoishi na watu ,huko kwl
 
Kama mnabisha Sendeka kupona kwenye ilo shambulizi je tusiamini kupona kwa lissu pia au nalo lilitengenezwa?
 
Shambulio la risasi ni shambulio tu halina tofauti na shambulio lingine la risasi, labda la kwenye sinema.
Kuna tofauti hapa. Tundu Lissu mwenyewe kakiri kuwa msaliti. Alimsikia Magufuli akiwauliza Wanajeshi kuwa wakati mko vitani huwa mnamfanyeje msaliti anayevujisha siri zenu kwa adui? Wakasema they don't deserve to survive, ambayo inaeleweka. Ila (kwa sasa) kwani kuna mtu kasema ole Sendeka anampa siri Tundu Lissu?
 
Lakini ni Lisu huyo huyo aliyemficha dereva
Sasa kwanin asimfiche wakati dereva wameshambuliwa wakiwa nae alafu polis wanataka waanze nae.wakati aliposhambuliwa yasemekana ku camera.kipi kilikua cha kuanza nacho kati ya dereva cctv?
 
Kuna tofauti hapa. Tundu Lissu mwenyewe kakiri kuwa msaliti. Alimsikia Magufuli akiwauliza Wanajeshi kuwa wakati mko vitani huwa mnamfanyeje msaliti anayevujisha siri zenu kwa adui? Wakasema they don't deserve to survive, ambayo inaeleweka. Ila (kwa sasa) kwani kuna mtu kasema ole Sendeka anampa siri Tundu Lissu?
 
Kuna tofauti hapa. Tundu Lissu mwenyewe kakiri kuwa msaliti. Alimsikia Magufuli akiwauliza Wanajeshi kuwa wakati mko vitani huwa mnamfanyeje msaliti anayevujisha siri zenu kwa adui? Wakasema they don't deserve to survive, ambayo inaeleweka. Ila (kwa sasa) kwani kuna mtu kasema ole Sendeka anampa siri Tundu Lissu?
Ndiyo sababu walikwenda kanisani kumuombea walikamatwa, na walikwenda hisipitali kumuona aliwaadhibu! Usipende kutetea chuki za wanasiasa utajibebesha mzigo usiokuhusu, kumbuka dunia duara.
 
Sendeka amejishambulia mwenyewe ili kupata huruma ya wapiga kura.
 
Back
Top Bottom