WILLIAM MARCONI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 2,108
- 878
Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.
Shambulio la Lissu lilikuwa spesho kwa ajili ya kuondoa uhai wake na lilikuwa haswaa Linahusu siasa!
Tundu Lissu hakushambuliwa vichakani Wala msituni, alishambuliwa katikati ya jiji ,Tundu lissu alishambuliwa mchana jua Linawaka. Hili la ole sendeka limetokea huko simanjiro aangalie namna anavyoishi na watu ,huko kwl
Kuna tofauti hapa. Tundu Lissu mwenyewe kakiri kuwa msaliti. Alimsikia Magufuli akiwauliza Wanajeshi kuwa wakati mko vitani huwa mnamfanyeje msaliti anayevujisha siri zenu kwa adui? Wakasema they don't deserve to survive, ambayo inaeleweka. Ila (kwa sasa) kwani kuna mtu kasema ole Sendeka anampa siri Tundu Lissu?Shambulio la risasi ni shambulio tu halina tofauti na shambulio lingine la risasi, labda la kwenye sinema.
Sasa kwanin asimfiche wakati dereva wameshambuliwa wakiwa nae alafu polis wanataka waanze nae.wakati aliposhambuliwa yasemekana ku camera.kipi kilikua cha kuanza nacho kati ya dereva cctv?Lakini ni Lisu huyo huyo aliyemficha dereva
Kuna tofauti hapa. Tundu Lissu mwenyewe kakiri kuwa msaliti. Alimsikia Magufuli akiwauliza Wanajeshi kuwa wakati mko vitani huwa mnamfanyeje msaliti anayevujisha siri zenu kwa adui? Wakasema they don't deserve to survive, ambayo inaeleweka. Ila (kwa sasa) kwani kuna mtu kasema ole Sendeka anampa siri Tundu Lissu?
Ndiyo sababu walikwenda kanisani kumuombea walikamatwa, na walikwenda hisipitali kumuona aliwaadhibu! Usipende kutetea chuki za wanasiasa utajibebesha mzigo usiokuhusu, kumbuka dunia duara.Kuna tofauti hapa. Tundu Lissu mwenyewe kakiri kuwa msaliti. Alimsikia Magufuli akiwauliza Wanajeshi kuwa wakati mko vitani huwa mnamfanyeje msaliti anayevujisha siri zenu kwa adui? Wakasema they don't deserve to survive, ambayo inaeleweka. Ila (kwa sasa) kwani kuna mtu kasema ole Sendeka anampa siri Tundu Lissu?
Kwahio shambulio la Ole lilikuwa lakumpaka mafuta sio?Shambulio la Lissu lilikuwa spesho kwa ajili ya kuondoa uhai wake na lilikuwa haswaa Linahusu siasa!