kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Msigwa kaamua kujitenga na uanaharakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No, he is not, ameonesha hana ukomavu wowote kwa hili alilofanya.Msigwa ni mkomavu, kukaa na vitoto hivi ambavyo vinajua tu kutukana...
Wao ndo walije uadui kama msigwa angekuwa mtu wa hovyo Leo hii agekuwa waziri kupitia mwendazakeMsigwa kumbe yuko soft minded sana, sikujua; ieleweke siku zote kutofautiana na wenzio kimsimamo kwenye taasisi yenu kuhusu jambo fulani, hakumaanishi umejiunga kwa wale unaodhaniwa, unachotakiwa kufanya ni kubaki ukijitambua huku ukiujua uelekeo wako.
Namaanisha kwamba, hata mkitofautiana jambo moja kitaasisi/binafsi, bado kuna uwezekano mkakubaliana kwenye jambo lingine, na hili kama lingefanyika lingemrudishia Msigwa kuaminiwa.
Lakini kwa kisirani chake cha kuwablock wenzake, na kuendelea kubaki na msimamo wake kuhusu Ngorongoro huku akipigiwa debe na lumumba, ameharibu; alitakiwa awaache wale waendelee kuwa pamoja, awe marafiki nao asijenge nao uadui, mbele angekuja kuaminika tena hili litakapopita, huu ni upepo tu, lakini Msigwa ameacha huu upepo umchukue.
Matokeo yake kwa huu uamuzi wake sasa atazidi kuwa na maisha magumu ndani ya Chadema, na asipokuwa makini atajikuta anakimbilia CCM bila kupenda ila kwa kukosa kwake maarifa ya kui handle situation aliyopo.
Wamfukuze haraka snMsigwa kaamua kujitenga na uanaharakatiView attachment 2268322
Kipindi cha JPM alikuwa ni Mbunge sahivi hana issue yupo kitaaKamblock Hilda au kawablock na aki na mwenyekiti na makamu mwenyekiti na katibu? Msigwa ni mtu wa hoja na tuna uhakika hajalamba asali kama alivyoikataa kipindi cha JPM.
Mchungaji Msigwa anaelekea ACT wazalendoMsigwa kaamua kujitenga na uanaharakatiView attachment 2268322
Itafahamika tu ushauri wa lowassa ulikuwa wa maana sana chama kutoka kwenye uanaharakati!Wamfukuze haraka sn
PointlessItafahamika tu ushauri wa lowassa ulikuwa wa maana sana chama kutoka kwenye uanaharakati!