Msigwa alalamikiwa kuwalamba block CHADEMA wenzake

Msigwa alalamikiwa kuwalamba block CHADEMA wenzake

Sijui kama akikimbilia huko CCM halafu itokee akatofautiana tena na wenzake atakimbilia wapi kwa hiki kisirani chak
Alianza NCCR alipopingwa akaenda TLP alipopingwa akaja Chadema. Sasa anapingwa anataka kurudi CCM.

Msigwa mshaurini awe na ngozi ngumu.
 
Mwizi akataka kuitumia chadema kwenda ikulu?

Yani chadema ilitaka kupeleka mwizi ikulu!

Huoni kama hicho chama ni cha mazuzu?

Pitia post zangu uone kama kuna mahali popote niliunga mkono ujio wa lile zee jizi.
 
Kwani yeye Nani ! Kaondoka Dr. Slaa, na wengineo lukuki Bado CHADEMA iko imara hata kayafa aliapa kuua CHADEMA akafa yeye....
Kwa hiyo malengo ya chadema sio kuchukua dola?
 
Lowassa hakuwa mwanasiasa, bali mwizi aliyefanikiwa kuiba kupitia mlango wa siasa, hadi akawa na ndoto ya kuwa rais. Kwa kiwango kikubwa Lowassa alichangia kuitoa CDM kwenye siasa zake, kisha akarudi kwenye siasa za mbeleko ya vyombo vya dola ili aendelee kula asali.
Ushauri wake ulikuwa mujarabu chama kimejaa mihemko la loliondo pia litapita!
 
Mchungaji hajapenda harakati za mbowe kwenda Ikulu mara kwa mara na kuiuza chadema kwa vipande 30
Lakini hatimaye harakati za Ikulu zimeleta matumaini baada ya ccm sasa kukubali mchakato wa katiba mpyA
 
Unaongea utoto gani mzee? Habari za Loliondo zinatoka wapi kwenye post yangu?
Kwani chimbuko la huu mgogoro wa Msigwa kutofautiana mawazo na wenzie si limeanzia na habari ya loliondo au unajitoa ufahamu kijana!
 
Alikuwepo Zitto na Slaa. hivi kuna mtu anaweza kutuyumbisha kuzidi hao?
Mabadiliko yanakuja na jambo usilotegemea kabisa msigwa uyu uyu anaweza kufanya mkagawana mbao kibaya zaidi wale vijana kina martin, na Hilda, kina mdude hawana price tag so wangekuwa nayo wangesaliti chama hivi martin au Hilda afuatwe na V8 ambiwe njoo uku tunakupa cheo hiki hapa unazani watakataa wale njaa ndio Ina watesa wakiamini ipo siku chama kitawakumbuka
 
Msigwa kaamua kujitenga na uanaharakati

View attachment 2268322
IMG-20220623-WA0121.jpg
 
Back
Top Bottom