Msigwa alalamikiwa kuwalamba block CHADEMA wenzake

Msigwa kumbe yuko soft minded sana, sikujua; ieleweke kwamba siku zote kutofautiana na wenzio kimsimamo kwenye taasisi yenu kuhusu jambo fulani, hakumaanishi umejiunga kwa wale unaodhaniwa, unachotakiwa kufanya ni kubaki ukijitambua huku ukiujua uelekeo wako.

Namaanisha kwamba, hata mkitofautiana jambo moja kitaasisi/binafsi, bado kuna uwezekano mkakubaliana kwenye jambo lingine, na hili kama lingefanyika lingemrudishia Msigwa kuaminiwa.

Lakini kwa kisirani chake cha kuwa "block" wenzake, na kuendelea kubaki na msimamo wake kuhusu Ngorongoro huku akipigiwa debe na lumumba, ameharibu.

Alitakiwa awaache wale waendelee kumsema vibaya lakini bado awe nao pamoja, awe marafiki nao asijenge nao uadui, kwani mbele angekuja kuaminika tena hili la sasa litakapopita, huu ni upepo tu, lakini Msigwa ameacha huu upepo umchukue.

Hili kama lingefanyika lingesaidia kubadilisha "mindset" ya upinzani wetu, kuunga mkono jambo la mpinzani wako kungeanza kuzoeleka, isingeonekana na kosa, lakini Msigwa ameshindwa kujiongeza ili aje kuonekana shujaa baadae, Msigwa kaamua kuendeleza "precedence" hii ya kumuunga mkono mpinzani wako kisiasa kwa jambo fulani ionekane ni kosa.

Matokeo yake kwa huu uamuzi wake sasa atazidi kuwa na maisha magumu ndani ya Chadema, na asipokuwa makini atajikuta anakimbilia CCM bila kupenda ila kwa kukosa kwake maarifa ya kui "handle" situation aliyopo.

Sijui kama akikimbilia huko CCM halafu itokee akatofautiana tena na wenzake atakimbilia wapi kwa hiki kisirani chake..
Aanzishe chama chake kama anadhani yeye ni supper material Kisha apate jukwaa Pana ka kujidai,....
Namsifu Sana Zito alipambana na hatimaye kapata chama chake
 
No, he is not, ameonesha hana ukomavu wowote kwa hili alilofanya.

You are right ! Sometimes you may agree to disagree with your colleagues on some issues as you definately agree with them on many other issues. Hakuna haja ya kukumbiana !!
 
SIASA ZA AFRIKA

Inashangaza sana kuona kikundi cha watu wazima wanaounganishwa kwa Uanachama wa Chama cha Kisiasa ; kutaka kwa makusudi watu wote wafikiri sawa.

Hii haipo duniani kote, hatuwezi wote kuwa na mawazo yanayofanana kwa kila jambo.

Vyama vya siasa vinapaswa kuunganisha wanachama kwa ''ideology'' - itikadi na sio mtazamo.

Hii inafanya chama cha chadema kuona kila anayepinga serikali yupo upande wao na kila anayeunga mkono hoja fulani ya serikali basi yupo upande wa serikali.
Chama kiache watu wawe huru na mawazo na maoni, unganisheni watu wa itikadi na sio maoni/mawazo.

Ndio maana kuna wakati Mchungaji Gwajima alikuwa anaonekana kuwa Chadema kuwa na mawazo yanayorandana na wanachama wa chadema, hali kadhalika kigogo yule wa twitter, leo kigogo amebadili gia/mawazo.
 
Msigwa ana haki ya ku block yeyote asiyependa kuwasiliana nae, ni uhuru wake na asipangiwe. Tatizo kubwa ndani ya upinzani wanahubiri demokrasia ilia hawezi kuishi kwenye demokrasia. Ukiwa tofauti kimtizamo utaitwa msaliti, umefika bei, au kibaraka.
Mwamba Huu uzi ulitakiwa uishie kwenye comment yako umemaliza kila kitu
 
Msigwa kumbe yuko soft minded sana, sikujua; ieleweke kwamba siku zote kutofautiana na wenzio kimsimamo kwenye taasisi yenu kuhusu jambo fulani, hakumaanishi umejiunga kwa wale unaodhaniwa, unachotakiwa kufanya ni kubaki ukijitambua huku ukiujua uelekeo wako.

Namaanisha kwamba, hata mkitofautiana jambo moja kitaasisi/binafsi, bado kuna uwezekano mkakubaliana kwenye jambo lingine, na hili kama lingefanyika lingemrudishia Msigwa kuaminiwa.

Lakini kwa kisirani chake cha kuwa "block" wenzake, na kuendelea kubaki na msimamo wake kuhusu Ngorongoro huku akipigiwa debe na lumumba, ameharibu.

Alitakiwa awaache wale waendelee kumsema vibaya lakini bado awe nao pamoja, awe marafiki nao asijenge nao uadui, kwani mbele angekuja kuaminika tena hili la sasa litakapopita, huu ni upepo tu, lakini Msigwa ameacha huu upepo umchukue.

Hili kama lingefanyika lingesaidia kubadilisha "mindset" ya upinzani wetu, kuunga mkono jambo la mpinzani wako kungeanza kuzoeleka, isingeonekana na kosa, lakini Msigwa ameshindwa kujiongeza ili aje kuonekana shujaa baadae, Msigwa kaamua kuendeleza "precedence" hii ya kumuunga mkono mpinzani wako kisiasa kwa jambo fulani ionekane ni kosa.

Matokeo yake kwa huu uamuzi wake sasa atazidi kuwa na maisha magumu ndani ya Chadema, na asipokuwa makini atajikuta anakimbilia CCM bila kupenda ila kwa kukosa kwake maarifa ya kui "handle" situation aliyopo.

Sijui kama akikimbilia huko CCM halafu itokee akatofautiana tena na wenzake atakimbilia wapi kwa hiki kisirani chake..
Mnyalu ana hasira anataka kujinyonga😂
 
Msigwa kaamua kujitenga na uanaharakati

View attachment 2268322
Msigwa hakufurahishwa na Mbowe alivyoiuza Chadema kwa Samia kwa vipande 30., pia tundu lissu kukutana na mama Belgium wakati Lissu aliwakataza wenzake kutoshiriki mkutano wa upinzani pamoja na mama., Pia hakupenda safari za Ikulu mbowe mara kwa mara na Mbowe kuiacha ajenda ya katiba mpya. Chadema ime-collapse
 
CHADEMA imeharibiwa na wanaharakati wa mtandao akina maria na martini na wenzao. Chama hakina sera wala mwelekeo tena.

Wanapenda kutumia mashabiko hao ambao hawana kitu kichwani.
 
Msigwa kumbe yuko soft minded sana, sikujua; ieleweke kwamba siku zote kutofautiana na wenzio kimsimamo kwenye taasisi yenu kuhusu jambo fulani, hakumaanishi umejiunga kwa wale unaodhaniwa, unachotakiwa kufanya ni kubaki ukijitambua huku ukiujua uelekeo wako.

Namaanisha kwamba, hata mkitofautiana jambo moja kitaasisi/binafsi, bado kuna uwezekano mkakubaliana kwenye jambo lingine, na hili kama lingefanyika lingemrudishia Msigwa kuaminiwa.

Lakini kwa kisirani chake cha kuwa "block" wenzake, na kuendelea kubaki na msimamo wake kuhusu Ngorongoro huku akipigiwa debe na lumumba, ameharibu.

Alitakiwa awaache wale waendelee kumsema vibaya lakini bado awe nao pamoja, awe marafiki nao asijenge nao uadui, kwani mbele angekuja kuaminika tena hili la sasa litakapopita, huu ni upepo tu, lakini Msigwa ameacha huu upepo umchukue.

Hili kama lingefanyika lingesaidia kubadilisha "mindset" ya upinzani wetu, kuunga mkono jambo la mpinzani wako kungeanza kuzoeleka, isingeonekana na kosa, lakini Msigwa ameshindwa kujiongeza ili aje kuonekana shujaa baadae, Msigwa kaamua kuendeleza "precedence" hii ya kumuunga mkono mpinzani wako kisiasa kwa jambo fulani ionekane ni kosa.

Matokeo yake kwa huu uamuzi wake sasa atazidi kuwa na maisha magumu ndani ya Chadema, na asipokuwa makini atajikuta anakimbilia CCM bila kupenda ila kwa kukosa kwake maarifa ya kui "handle" situation aliyopo.

Sijui kama akikimbilia huko CCM halafu itokee akatofautiana tena na wenzake atakimbilia wapi kwa hiki kisirani chake..
Msigwa hakufurahishwa na Mbowe alivyokosa uvumilivu kwa miezi 8 aliyokaa jela na kuamua kukiuza chama ili awe huru., sasa safari za Ikulu haziishi ameacha ajenda ya Katiba mpya., ni vile mbowe anapelekeshwa na mama. Msigwa ni mtu wa msimamo anaichukia CCM katika moyo wake na hajapenda mwenyekiti wake kuwa cheep kwa vipande 30, hajapenda udiktena wa Tundu Lissu kwamba anachoona yeye ni sawa anafanya tu, alikutana na mama belgium bila kukishauri chama
 
No, he is not, ameonesha hana ukomavu wowote kwa hili alilofanya.

Denoo hata wewe unafanya makosa,unapinga maono ya wenzako ukitaka wafuate maono yako. Let’s all agree to disagree
 
Msigwa ana haki ya ku block yeyote asiyependa kuwasiliana nae, ni uhuru wake na asipangiwe. Tatizo kubwa ndani ya upinzani wanahubiri demokrasia ilia hawezi kuishi kwenye demokrasia. Ukiwa tofauti kimtizamo utaitwa msaliti, umefika bei, au kibaraka.
Msigwa kusupport walichofanyiwa wamasai kazingua sana aamie tu ccm lieleweke moja
 
Msigwa kumbe yuko soft minded sana, sikujua; ieleweke kwamba siku zote kutofautiana na wenzio kimsimamo kwenye taasisi yenu kuhusu jambo fulani, hakumaanishi umejiunga kwa wale unaodhaniwa, unachotakiwa kufanya ni kubaki ukijitambua huku ukiujua uelekeo wako.

Namaanisha kwamba, hata mkitofautiana jambo moja kitaasisi/binafsi, bado kuna uwezekano mkakubaliana kwenye jambo lingine, na hili kama lingefanyika lingemrudishia Msigwa kuaminiwa.

Lakini kwa kisirani chake cha kuwa "block" wenzake, na kuendelea kubaki na msimamo wake kuhusu Ngorongoro huku akipigiwa debe na lumumba, ameharibu.

Alitakiwa awaache wale waendelee kumsema vibaya lakini bado awe nao pamoja, awe marafiki nao asijenge nao uadui, kwani mbele angekuja kuaminika tena hili la sasa litakapopita, huu ni upepo tu, lakini Msigwa ameacha huu upepo umchukue.

Hili kama lingefanyika lingesaidia kubadilisha "mindset" ya upinzani wetu, kuunga mkono jambo la mpinzani wako kungeanza kuzoeleka, isingeonekana na kosa, lakini Msigwa ameshindwa kujiongeza ili aje kuonekana shujaa baadae, Msigwa kaamua kuendeleza "precedence" hii ya kumuunga mkono mpinzani wako kisiasa kwa jambo fulani ionekane ni kosa.

Matokeo yake kwa huu uamuzi wake sasa atazidi kuwa na maisha magumu ndani ya Chadema, na asipokuwa makini atajikuta anakimbilia CCM bila kupenda ila kwa kukosa kwake maarifa ya kui "handle" situation aliyopo.

Sijui kama akikimbilia huko CCM halafu itokee akatofautiana tena na wenzake atakimbilia wapi kwa hiki kisirani chake..

Msigwa hataki unafiki kama kawaida ya wanyalukolo walivyo.

Utakuwaje pamoja na watu ambao hamko pamoja kimtazamo. na hata ukichunguza kwa undani sababu ya kutokuwa pamoja, hakuna hoja nzito na makini za kutokuwa pamoja. watu wameamua kujitoa ufahamu na kupinga kila kitu ambacho serikali inafanya. Vingine vinaonekana wazi kabisa ni vya msingi, lkn kwa sababu vinatoka serikalini, basi ni kupinga tu.

Pia nadhani neno chama cha upinzani libadirishwe, viitwe vyama mbadala, maana ukisema upinzani, uwezo wa kufikiri unapotea, yaani hivyo vyama vinakuwa ni kupinga tuuu. Hata jambo ambalo kwa wazi kabisa lina masilahi ya taifa, wenyewe ni ubishi tu.

Tujiongeze, tuachane na fikra za wazungu, waliposema opposition party, basi sisi ni kupinga kwa kwenda mbele.
 
Hilda newton, mdude na martin ni watu walioharibu sana imani ya chadema, ni watu wanaosambaza chuki kwa wananchi, na wanaamini hawawezi kufanywa chochote. ajabu ni kwamba, mbowe hajawahi kuwashauri, anawaacha ivyo ivyo kuwatumia kama fimbo kuchapia watu.
 
Msigwa kusupport walichofanyiwa wamasai kazingua sana aamie tu ccm lieleweke moja
watu wote wanaosapiti wamasai loliondo, hawana akili. nimemsikia mmoja ana kitambi kabisa ati eneo lile ni eneo asili kwa wamasai? wakati wamasai wamehamia pale tokea serengeti. walishaishi hapo watatoga, na kabila linge pia. ujinga mtupu. ndio maana chadema mnadharaulika kwasababu likija suala la hoja huwa mnatundika akili pembeni mnaanza kutumia kamasi.
 
Itafahamika tu ushauri wa lowassa ulikuwa wa maana sana chama kutoka kwenye uanaharakati!
Mtu pekee asiye na uanaharakati ni maiti, chama cha siasa kisicho na wanaharakati ni chama cha wafu kilichopo duniani.
 
Back
Top Bottom