Aanzishe chama chake kama anadhani yeye ni supper material Kisha apate jukwaa Pana ka kujidai,....Msigwa kumbe yuko soft minded sana, sikujua; ieleweke kwamba siku zote kutofautiana na wenzio kimsimamo kwenye taasisi yenu kuhusu jambo fulani, hakumaanishi umejiunga kwa wale unaodhaniwa, unachotakiwa kufanya ni kubaki ukijitambua huku ukiujua uelekeo wako.
Namaanisha kwamba, hata mkitofautiana jambo moja kitaasisi/binafsi, bado kuna uwezekano mkakubaliana kwenye jambo lingine, na hili kama lingefanyika lingemrudishia Msigwa kuaminiwa.
Lakini kwa kisirani chake cha kuwa "block" wenzake, na kuendelea kubaki na msimamo wake kuhusu Ngorongoro huku akipigiwa debe na lumumba, ameharibu.
Alitakiwa awaache wale waendelee kumsema vibaya lakini bado awe nao pamoja, awe marafiki nao asijenge nao uadui, kwani mbele angekuja kuaminika tena hili la sasa litakapopita, huu ni upepo tu, lakini Msigwa ameacha huu upepo umchukue.
Hili kama lingefanyika lingesaidia kubadilisha "mindset" ya upinzani wetu, kuunga mkono jambo la mpinzani wako kungeanza kuzoeleka, isingeonekana na kosa, lakini Msigwa ameshindwa kujiongeza ili aje kuonekana shujaa baadae, Msigwa kaamua kuendeleza "precedence" hii ya kumuunga mkono mpinzani wako kisiasa kwa jambo fulani ionekane ni kosa.
Matokeo yake kwa huu uamuzi wake sasa atazidi kuwa na maisha magumu ndani ya Chadema, na asipokuwa makini atajikuta anakimbilia CCM bila kupenda ila kwa kukosa kwake maarifa ya kui "handle" situation aliyopo.
Sijui kama akikimbilia huko CCM halafu itokee akatofautiana tena na wenzake atakimbilia wapi kwa hiki kisirani chake..
No, he is not, ameonesha hana ukomavu wowote kwa hili alilofanya.
Ndio maana Mbowe kaamua kukaa kimya maana anawaona mazuzualikuwepo Zitto na Slaa. hivi kuna mtu anaweza kutuyumbisha kuzidi hao?
Halafu wanajiita eti wana demokrasia.Moja ya vitu ambavyo CHADEMA huwa wanafeli,ni pale ambapo wakipishana hoja wanaanza kuparuana!
Kama Mbowe na Lissu walivyofika bei sasa hivi wanalamba asali sasa kwa namna hiyo Nani atamfukuza mwenzieMsigwa kashafika bei hana namna zaidi ya kuunga mkono juhudi
Mwamba Huu uzi ulitakiwa uishie kwenye comment yako umemaliza kila kituMsigwa ana haki ya ku block yeyote asiyependa kuwasiliana nae, ni uhuru wake na asipangiwe. Tatizo kubwa ndani ya upinzani wanahubiri demokrasia ilia hawezi kuishi kwenye demokrasia. Ukiwa tofauti kimtizamo utaitwa msaliti, umefika bei, au kibaraka.
Uimara wa chadema ni upi?Kwani yy Nani ! Kaondoka Dr.slaa, na wengineo lukuki Bado CHADEMA iko imara hata kayafa aliapa kuua CHADEMA akafa yy....
Mnyalu ana hasira anataka kujinyonga😂Msigwa kumbe yuko soft minded sana, sikujua; ieleweke kwamba siku zote kutofautiana na wenzio kimsimamo kwenye taasisi yenu kuhusu jambo fulani, hakumaanishi umejiunga kwa wale unaodhaniwa, unachotakiwa kufanya ni kubaki ukijitambua huku ukiujua uelekeo wako.
Namaanisha kwamba, hata mkitofautiana jambo moja kitaasisi/binafsi, bado kuna uwezekano mkakubaliana kwenye jambo lingine, na hili kama lingefanyika lingemrudishia Msigwa kuaminiwa.
Lakini kwa kisirani chake cha kuwa "block" wenzake, na kuendelea kubaki na msimamo wake kuhusu Ngorongoro huku akipigiwa debe na lumumba, ameharibu.
Alitakiwa awaache wale waendelee kumsema vibaya lakini bado awe nao pamoja, awe marafiki nao asijenge nao uadui, kwani mbele angekuja kuaminika tena hili la sasa litakapopita, huu ni upepo tu, lakini Msigwa ameacha huu upepo umchukue.
Hili kama lingefanyika lingesaidia kubadilisha "mindset" ya upinzani wetu, kuunga mkono jambo la mpinzani wako kungeanza kuzoeleka, isingeonekana na kosa, lakini Msigwa ameshindwa kujiongeza ili aje kuonekana shujaa baadae, Msigwa kaamua kuendeleza "precedence" hii ya kumuunga mkono mpinzani wako kisiasa kwa jambo fulani ionekane ni kosa.
Matokeo yake kwa huu uamuzi wake sasa atazidi kuwa na maisha magumu ndani ya Chadema, na asipokuwa makini atajikuta anakimbilia CCM bila kupenda ila kwa kukosa kwake maarifa ya kui "handle" situation aliyopo.
Sijui kama akikimbilia huko CCM halafu itokee akatofautiana tena na wenzake atakimbilia wapi kwa hiki kisirani chake..
Hata wakipishana mwishoni wanabaki wamoja!CCM Wakipishana huwa wanafanyaje au huwa hawatofautiani.
Msigwa hakufurahishwa na Mbowe alivyoiuza Chadema kwa Samia kwa vipande 30., pia tundu lissu kukutana na mama Belgium wakati Lissu aliwakataza wenzake kutoshiriki mkutano wa upinzani pamoja na mama., Pia hakupenda safari za Ikulu mbowe mara kwa mara na Mbowe kuiacha ajenda ya katiba mpya. Chadema ime-collapse
Mchungaji hajapenda harakati za mbowe kwenda Ikulu mara kwa mara na kuiuza chadema kwa vipande 30Mchungaji Msigwa anaelekea ACT wazalendo
CHADEMA imeharibiwa na wanaharakati wa mtandao akina maria na martini na wenzao. Chama hakina sera wala mwelekeo tena.
Msigwa hakufurahishwa na Mbowe alivyokosa uvumilivu kwa miezi 8 aliyokaa jela na kuamua kukiuza chama ili awe huru., sasa safari za Ikulu haziishi ameacha ajenda ya Katiba mpya., ni vile mbowe anapelekeshwa na mama. Msigwa ni mtu wa msimamo anaichukia CCM katika moyo wake na hajapenda mwenyekiti wake kuwa cheep kwa vipande 30, hajapenda udiktena wa Tundu Lissu kwamba anachoona yeye ni sawa anafanya tu, alikutana na mama belgium bila kukishauri chamaMsigwa kumbe yuko soft minded sana, sikujua; ieleweke kwamba siku zote kutofautiana na wenzio kimsimamo kwenye taasisi yenu kuhusu jambo fulani, hakumaanishi umejiunga kwa wale unaodhaniwa, unachotakiwa kufanya ni kubaki ukijitambua huku ukiujua uelekeo wako.
Namaanisha kwamba, hata mkitofautiana jambo moja kitaasisi/binafsi, bado kuna uwezekano mkakubaliana kwenye jambo lingine, na hili kama lingefanyika lingemrudishia Msigwa kuaminiwa.
Lakini kwa kisirani chake cha kuwa "block" wenzake, na kuendelea kubaki na msimamo wake kuhusu Ngorongoro huku akipigiwa debe na lumumba, ameharibu.
Alitakiwa awaache wale waendelee kumsema vibaya lakini bado awe nao pamoja, awe marafiki nao asijenge nao uadui, kwani mbele angekuja kuaminika tena hili la sasa litakapopita, huu ni upepo tu, lakini Msigwa ameacha huu upepo umchukue.
Hili kama lingefanyika lingesaidia kubadilisha "mindset" ya upinzani wetu, kuunga mkono jambo la mpinzani wako kungeanza kuzoeleka, isingeonekana na kosa, lakini Msigwa ameshindwa kujiongeza ili aje kuonekana shujaa baadae, Msigwa kaamua kuendeleza "precedence" hii ya kumuunga mkono mpinzani wako kisiasa kwa jambo fulani ionekane ni kosa.
Matokeo yake kwa huu uamuzi wake sasa atazidi kuwa na maisha magumu ndani ya Chadema, na asipokuwa makini atajikuta anakimbilia CCM bila kupenda ila kwa kukosa kwake maarifa ya kui "handle" situation aliyopo.
Sijui kama akikimbilia huko CCM halafu itokee akatofautiana tena na wenzake atakimbilia wapi kwa hiki kisirani chake..
No, he is not, ameonesha hana ukomavu wowote kwa hili alilofanya.
Msigwa kusupport walichofanyiwa wamasai kazingua sana aamie tu ccm lieleweke mojaMsigwa ana haki ya ku block yeyote asiyependa kuwasiliana nae, ni uhuru wake na asipangiwe. Tatizo kubwa ndani ya upinzani wanahubiri demokrasia ilia hawezi kuishi kwenye demokrasia. Ukiwa tofauti kimtizamo utaitwa msaliti, umefika bei, au kibaraka.
Msigwa kumbe yuko soft minded sana, sikujua; ieleweke kwamba siku zote kutofautiana na wenzio kimsimamo kwenye taasisi yenu kuhusu jambo fulani, hakumaanishi umejiunga kwa wale unaodhaniwa, unachotakiwa kufanya ni kubaki ukijitambua huku ukiujua uelekeo wako.
Namaanisha kwamba, hata mkitofautiana jambo moja kitaasisi/binafsi, bado kuna uwezekano mkakubaliana kwenye jambo lingine, na hili kama lingefanyika lingemrudishia Msigwa kuaminiwa.
Lakini kwa kisirani chake cha kuwa "block" wenzake, na kuendelea kubaki na msimamo wake kuhusu Ngorongoro huku akipigiwa debe na lumumba, ameharibu.
Alitakiwa awaache wale waendelee kumsema vibaya lakini bado awe nao pamoja, awe marafiki nao asijenge nao uadui, kwani mbele angekuja kuaminika tena hili la sasa litakapopita, huu ni upepo tu, lakini Msigwa ameacha huu upepo umchukue.
Hili kama lingefanyika lingesaidia kubadilisha "mindset" ya upinzani wetu, kuunga mkono jambo la mpinzani wako kungeanza kuzoeleka, isingeonekana na kosa, lakini Msigwa ameshindwa kujiongeza ili aje kuonekana shujaa baadae, Msigwa kaamua kuendeleza "precedence" hii ya kumuunga mkono mpinzani wako kisiasa kwa jambo fulani ionekane ni kosa.
Matokeo yake kwa huu uamuzi wake sasa atazidi kuwa na maisha magumu ndani ya Chadema, na asipokuwa makini atajikuta anakimbilia CCM bila kupenda ila kwa kukosa kwake maarifa ya kui "handle" situation aliyopo.
Sijui kama akikimbilia huko CCM halafu itokee akatofautiana tena na wenzake atakimbilia wapi kwa hiki kisirani chake..
watu wote wanaosapiti wamasai loliondo, hawana akili. nimemsikia mmoja ana kitambi kabisa ati eneo lile ni eneo asili kwa wamasai? wakati wamasai wamehamia pale tokea serengeti. walishaishi hapo watatoga, na kabila linge pia. ujinga mtupu. ndio maana chadema mnadharaulika kwasababu likija suala la hoja huwa mnatundika akili pembeni mnaanza kutumia kamasi.Msigwa kusupport walichofanyiwa wamasai kazingua sana aamie tu ccm lieleweke moja
Mtu pekee asiye na uanaharakati ni maiti, chama cha siasa kisicho na wanaharakati ni chama cha wafu kilichopo duniani.Itafahamika tu ushauri wa lowassa ulikuwa wa maana sana chama kutoka kwenye uanaharakati!