Msigwa anapwaya Serikali imchukue Ezekia Kamwaga kuwa msemaji wake

Msigwa anapwaya Serikali imchukue Ezekia Kamwaga kuwa msemaji wake

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Mpaka sasa ndo naona anajitutumua na kutamani apate teuzi ili aweze mtetea Samia vizuri. Wengine ni kama wamechoka.

Tumsaidie Eze Kamwaga tumtie moyo huyu maana Mtandao kama tunaanza tengwa na sukuma gang
 
Mpaka sasa ndo naona anajitutumua na kutamani apate teuzi ili aweze mtetea Samia vizuri. Wengine ni kama wamechoka. Tumsaidie Eze. Kamwaga
Kamwaga alikuwa na Salva Rweyemamu pale Rai 😂🙏✔️

Atafaa tu pia alikuwa na Manara pale Makolo FC
 
Jinga sana lile jamaa, yaani linajipendekeza to the full na halioni haya kabisa....bladi hell☹️
 
Kamwaga alikuwa na Salva Rweyemamu pale Rai 😂🙏✔️

Atafaa tu pia alikuwa na Manara pale Makolo FC
Manara amehamia makolo fc? Ooooh.. team zinaongezeka lakini manara si mwanaccm mwenzetu yule? Atakuwa smart kweli?
 
Kamwaga file lake tunalo ana mtoto kamfanya ndondocha ili apate pesa za miujiza
 
Back
Top Bottom