Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kamwaga alikuwa na Salva Rweyemamu pale Rai ππβοΈMpaka sasa ndo naona anajitutumua na kutamani apate teuzi ili aweze mtetea Samia vizuri. Wengine ni kama wamechoka. Tumsaidie Eze. Kamwaga
Mpaka sasa ndo naona anajitutumua na kutamani apate teuzi ili aweze mtetea Samia vizuri. Wengine ni kama wamechoka. Tumsaidie Eze. Kamwaga
Manara amehamia makolo fc? Ooooh.. team zinaongezeka lakini manara si mwanaccm mwenzetu yule? Atakuwa smart kweli?Kamwaga alikuwa na Salva Rweyemamu pale Rai ππβοΈ
Atafaa tu pia alikuwa na Manara pale Makolo FC
Cuba bundle bei gani?
Ndio zenuMpaka sasa ndo naona anajitutumua na kutamani apate teuzi ili aweze mtetea Samia vizuri. Wengine ni kama wamechoka. Tumsaidie Eze. Kamwaga tumtie moyo huyu maana Mtandao kama tunaanza tengwa na sukuma gang
Ndio zenu
Mnatamani sigara bwege?Kamwaga alikuwa na Salva Rweyemamu pale Rai ππβοΈ
Atafaa tu pia alikuwa na Manara pale Makolo FC