"Watanzania wote heri ya miaka 64 ya uhuru, uhuru wetu ndo maisha yetu. Watanzania siku hii ya uhuru tutafakari safari yetu, tutafakari nchi yetu, tuilinde nchi yetu. Kataa kushiriki matendo ya kuvunja sheria, matendo ya uvunjifu wa amani, sisi ni watanzania. Tanzania kisiwa cha amani kuna faida nyingi za kuwa kisiwa cha amani.
Anayekutuma au anayekushinikiza kushiriki uvunjifu wa amani anakupoteza. Usikubali Siku ya uhuru kaa nyumabni tafakari, jipange na huo ndo unufaikaji na Tanzania iliyo huru. Seriali yako iko tayarai kuhakikisha unanufaika na Tanzania iliyo huru"- Amesema Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg. Gerson Msigwa