Pre GE2025 Msigwa: Bwana Mkubwa ana historia ya kuondoa wanaomfahamu. Orodha ilitajwa kuwa lazima Msigwa, Lissu, Lema na Heche waondoke

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama list aliijua mapema ilikuwaje ajiapize kuwa AKIHAMIA CCM WANANCHI WACHOME NYUMBA NA MAGARI YAKE? JE WAKITEKELEZA AGIZO LAKE WATAKUWA WAMEFANYA MAKOSA?
 
Akihojiwa na Mwanahalisi Digital, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa kuna orodha kabisa imewekwa ya Watu wa kuondoka ambapo yupo Msigwa, Lissu, Lema na Heche kwa sababu ni watu wana uelewa na wanahoji

Amesema Wakati fulani nakumbuka tulikuwa na akina Baregu (marehemu), Prof. Kitila, Zitto Kabwe, walikuwepo watu wengi wazuri. Ulikuwa ukiiona Kamatyi Kuu ya CHADEMA, wakijipanga hivi unaona kuna Chama mbadala. Ila kwa bahati mbaya uelewa ulikuwa mdogo”

Ameongeza kuwa kutokana na uelewa mdogo ni saw ana mbuzi kuchekelea wakati mwewe akichukua kuku na kusahau kuwa bucha lipo karibu

Amesema “Tulichekelea sana Kitila wanachukuliwa na mwewe, Zitto wanachukuliwa na Mwewe, na kusahau kuwa bucha lipo karibu. Mambo haya kweli yalifanyika kipindi hicho. Bwana mkubwa [Mbowe] ana historia akiona mtu anamfahamu vizuri lazima atafuta namna ya kumuondoa. Ndio maana list ya kutaka kutuondoa imetajwa kabisa. Lazima aondoke Msigwa, Lissu, Lema na Heche”

Waumini wote mnaosali kanisa analohudumu mch Msigwa hameni. Huyu sio mchungaji ni dalali wa kisiasa.
 
Mengi anayoongea kuhusu mwenyekiti yanaonekana yana fikirisha,lakini alitakiw aondoke kabla hajaanguka kwenye uchaguzi na alikosea kwenda CCM,Bora angeenda udp upendo akazungumza haya.
Vinginevyo wengi watahisi ni njaa tu.
 
Endeleeni kumfuatilia Msigwa, kuna siku mtamwona amevaa chupi kichwani, suruali amevaa mabegani. Anakoelekea siyo kuzuri hata kidogo.
Fikiria anasema kuwa mbuzi huwa anafurahia kuku anapochukuliwa na mwewe, furaha ya mbuzi unaipimaje? Mbuzi huwa anacheka au kutabasamu!!
 
Nashangaa sana hizi siasa za kijinga hivi
Kweli mtu mzima unaongea haya kama una sura 3
Haka kajamaa ninkakichaa,ule ukichaa kama wa moulima flani aliyemuua RC.Kwanini asichague kuwa mstaarabu kama Rwakis a ka Engaju ya Bukoba na wengine? Katika siasa unaambiwa; Usilonge ukamala:
 
Pasteri kumbuka hata chama ulichopo kwa sasa pia kina madhaifu na matundu kibao tu.
Maana mkuu wa nchi ndio huyo mkuu wa chama,je unaweza kumkosoa mkuu wa hicho chama ulichopo?
Muulize Mbunge Job wa Dodoma kilichompata hadi leo hasikii tena.
Yaani huko ndio noma,yaani ni mwendo wa kiaskari kufuata mapendekezo ya mkuu chama.
Mwisho,Mkuu wa hicho chama alisema
"Ukimzingua anakuzingua" Job alishazinguliwa.
Natania bado hapo.
 
Akihojiwa na Mwanahalisi Digital, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa kuna orodha kabisa imewekwa ya Watu wa kuondoka ambapo yupo Msigwa, Lissu, Lema na Heche kwa sababu ni watu wana uelewa na wanahoji

Amesema Wakati fulani nakumbuka tulikuwa na akina Baregu (marehemu), Prof. Kitila, Zitto Kabwe, walikuwepo watu wengi wazuri. Ulikuwa ukiiona Kamatyi Kuu ya CHADEMA, wakijipanga hivi unaona kuna Chama mbadala. Ila kwa bahati mbaya uelewa ulikuwa mdogo”

Ameongeza kuwa kutokana na uelewa mdogo ni saw ana mbuzi kuchekelea wakati mwewe akichukua kuku na kusahau kuwa bucha lipo karibu

Amesema “Tulichekelea sana Kitila wanachukuliwa na mwewe, Zitto wanachukuliwa na Mwewe, na kusahau kuwa bucha lipo karibu. Mambo haya kweli yalifanyika kipindi hicho. Bwana mkubwa [Mbowe] ana historia akiona mtu anamfahamu vizuri lazima atafuta namna ya kumuondoa. Ndio maana list ya kutaka kutuondoa imetajwa kabisa. Lazima aondoke Msigwa, Lissu, Lema na Heche”

Sasa hapo ndiyo unaona nani Msomi wa kweli. Yule Dr.wa kweli PhD, Masingi sijui (katibu Mkuu wa Chadema) alipovutwa kwa nguvu na CCM aliondoka akakaa kimya unajua tu kuwa alilazimishwa akajinyamazia kmyaaaa! Msigwa kweli shule haijapanda, angeacha kuongea, hata akiongea vipi nazidi kujiharibia, angeziba huu mdomo. Hii diarrhea ya mouth inamponza
 
Amekosea kwenda CCM, hayo ni maoni yangu.
Raila alikwenda KANU ndiyo ukawa mwisho wa KANU.

CCM ingekwenda na maji kwa wengi wetu kwenda huko kimikakati.

Yuko wapi mwenye busara ya kupiga magoli ya mbali kama Odinga?

Au ni hawa makamanda wanaokwenda kwa vibiongo hatimaye?

Nakazia:

"Komaa kamanda."
 
Jamaa anazidi kujionesha ni mbumbumbu...
 
Back
Top Bottom