Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Katika press ya msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameeleza namna ambavyo bandari ya DP World ilivyotatua changamoto ya ajira kwa viajana wasomi wa kitanzania ambapo amesema bandari hiyo imezalisha zaidi ya ajira 764 za moja kwa moja na ajira zisizo za moja kwa moja nyingi zimezalishwa
Soma pia: Makataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu
Soma pia: Makataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu